GE2025 Mwenye taarifa ni wapi leo mgombea urais CCM anafanya kampeni zake mbona kimya?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu, sasa hivi ni saa 4 asubuhi lakini sioni chochote kinachoendelea. Je, CCM wamemaliza kampeni zao pale Babati, Manyara? Au kile kikao cha dharura cha Halmashauri Kuu ya CCM kimeathiri mwenendo wa kampeni? Naomba ufafanuzi.
1759648334956.png
 
Huo Muafaka anaoupanga Maza kuufanya ndani ya siku 100 baada ya uchaguzi ni bora angeufanya sasa.
 
Back
Top Bottom