GE2025 Mwenye taarifa ni wapi leo mgombea urais CCM anafanya kampeni zake mbona kimya?

GE2025 Mwenye taarifa ni wapi leo mgombea urais CCM anafanya kampeni zake mbona kimya?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jana jion ulipita msafara hapa mpakani mwa Manyara na Singida kuelekea Singida labda kamaliza kampeni Manyara. Anaenda mkoa mwingine
 
Naona harakati za kampeni kimya tangu captain Tesha aongee.

Je presha ilipanda ghafla na hali yake si nzuri mpaka sasa au kunani?
 
Ushaambiwa yuko mapumzikoni tangu weekend alipomaliza kampeni huko babati, manyara na anajiandaa kwenda mikoa ya kanda ya ziwa kuendelea na kampeni huko, subiri mpaka tarehe 8 oktoba ndio uje na hoja hii
 
Acha ajifie haraka, wazee wa kamati ya michango njaa ni kali kwa sasa, sijapata msiba wa kwenda kusaka ugari kwa hivi kalibuni, dhambi ya kukata baadhi ya majina ya wachangiaji mchango huwa inasafisha nyota zetu wazee wa kamati...
 
Ni mtu mzima sana. Tena siyo kimbaumbau. Anahitaji kupumzika.

JamiiForums934640752.jpeg
 
Eeh MUNGU nawaombea wauaji wote maisha marefu na baraka tele
 
Unataka upeleke snipers au wewe sniper wa kujitolea mumuondoe mapema?

Fanya hivi?

Tafuta ratiba za mikutano yake, chagua tarehe za mbele wahi kituoni wiki moja kabla uzoee mazingiza, tafuta eneo set mitambo iache huko endelea kutafuta njia za kutokomea baada ya tukio.

Ukikosa sehemu nzuri kwenye mkutano, jipange kutandika tairi za magari ya kati kwenye msafara.

Kwa ile speed huwezi mkosa.
 
Back
Top Bottom