GE2025 Mwenye taarifa ni wapi leo mgombea urais CCM anafanya kampeni zake mbona kimya?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ameishia Babati Mjini anatakiwa kwenda Babati Vijijini
jana kamaliza kampeni kanda ya kaskazini magari yote ya kampeni za ccm yamerud dodoma kesho wanaanza safari ya mwanza maana dodoma singida tabora na kigoma keshamaliza. Bado rukwa katavi shinyanga simiyu geita kagera mwanza mara na dar es salaam
 
Isije kuwa ya Sheikh Yahya yanakaribia kutimia,huyu Capt.Tesha sijui mchaga wa wapi aisee.Hii imekaa vibaya hii bado haijatulia.
Utabiri wa Sheikh Yahya uliishatimia kitambo tena kwa asilimia πŸ’―... CCM haiwezi kufanya zaidi ya kupangua hoja nzito za upinzani... Angalia sasa hata jeshi limegawanyika vipande viwili.... Wiki chache zijazo baada ya moshi huu moto utalipuka! πŸ”₯
 
Baada ya Mkutano wa Babati kilichokuwa kinafuata ni mapumziko ya siku moja, baada ya hapo kampeni itaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…