Asante mkuu. Mimi ni mtu wa kawaida sana, naamini nitawezana nao. Mungu anijalie tu hekima maana eneo jipya lina mapya yakeWatu wa iringa ni wakarimu sana iwapo hutowaonesha dharau na kujifanya unajua sana
We kuwa mpole na mkimya utafurahia hii ardhi ya mkwawa
Kamwene mnogage ndizo salamu zetu
Ulanzi kinywaji malidhawa had watoto wanatumia kama maziwa
🤣🤣🤣Changamoto kubwa ni mbunge wao, William Vangimembe Lukuvi. Amegoma kabisa kuachia jimbo
Nenda kapige kazi kijana. 👍👍Shukrani, hii ni taarifa njema maana barid ni kipengele
Kuwa makini na afya 😔 Ngwengwe nje nje
Ukijifanya mjuaaji nini madhara yake kwa faida ya wengine tusiojua huko, japo kwauufupiWatu wa iringa ni wakarimu sana iwapo hutowaonesha dharau na kujifanya unajua sana
We kuwa mpole na mkimya utafurahia hii ardhi ya mkwawa
Kamwene mnogage ndizo salamu zetu
Ulanzi kinywaji malidhawa had watoto wanatumia kama maziwa
Hawatumii dawa za kufubaza? 🤣Akikmbia kwa speed Kali lazma kimlambe 😂😂😂 ataishi kwa kuangalia kalenda tu
Hawatumii dawa za kufubaza? 🤣
Iringa tena sio kizimkazi ,MamaMkoa wa Iringa naupenda sana. Napanga kustaafia Iringa.
Ukijifanya mjuaaji nini madhara yake kwa faida ya wengine tusiojua huko, japo kwauufupi
🤣🤣🤣🤣🙌Wanatumia sana tu wao ukirusha nyavu hawajuagi kukwepa we utasikia anasema Bee we niangusage sambi Sako mwenyewe si ndi mgayakinu😂😂
Kilimo na ufugaji upoje?Ukimzingua mmoja ujue umegombana na kijiji kizima make huku wanaishi kiimaya zaid Yan kukuta kijiji kimoja kina kaya ishirini na zote n ukoo mmoja ni jambo la kawaida
Lbd iwapo ikibahatka ukajkuta upo maeneo ya center
Ali Happi alijikuta akiamka makaburini na kibukta tuUkijifanya mjuaaji nini madhara yake kwa faida ya wengine tusiojua huko, japo kwauufupi
Me. (40+)Jinsia ipi
KwannMkoa wa Iringa naupenda sana. Napanga kustaafia Iringa.
Acha woga kafanye kaziNimepata uamisho kuelekea Isimani-Iringa, mwenye taarifa na eneo hili naomba anisaidie kujua fursa za uchumi zilizopo, pia tamaduni za watu wa huko pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo ili niweze kujiandaa.
Hakuna uoga Ila ni muhimu sana kujiandaa na mazingira mapyaAcha woga kafanye kazi
ushukuru wa kiume umepona ,isimani ni sehemu ya Jimbo la uchaguzi ndani pia ni taarafa ndani ya iringa DC hali ya hewa ni sem derset jotolakuchoma , Masai ni wengisana hasa maeneo ya ilambilole ,kihorogota ,nyangoro ,pawaga ,idodo hivyo ni baadhi ya vijiji pia hifaddhi ya ruaha national park imepita hifaddhi kubwa ya pili Kwa afrika ........... pia Kuna center Moja maarufu lyanga pia Kuna Kijiji maarufu mkungugu alipogongewa risasi Dr crelu aliyekuwa mkuu wamkoa Iringa yanakutosha mdogowangu nimeishi miaka ya 1999 hadi 2000 ,mengine ukipanda basi kama unatokea sengerema au singida uwe unauliza kondaMe. (40+)