Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

Asante sana ndugu
 
Asante sana ndugu
nyongeza kwasasa hawana mbunge wanamtia Nia kongwe William lukuvi ,kama wewe ni msukuma kunawasukumanwengisana vijiji vya isele pia kama nimlevi usiku usitembee tembowengisana watu hua wanajigonga mana usiku ndomuda wao wakula na kutafuta maji
 
Kweli ni mtu wa maji kiasi. Nahitaji umakini huko
 
Isimani Kijiji gani isimani ni kubwa kuna sehemu hazina network ni shida , kuja kwako mjini ni rahisi njia ya Dodoma magari mengi pia kuna Daladala ndogo kwa ujumla kwa fursa huko ni kilimo kama utaamua kujikita na kilimo utafanikiwa ardhi nzuri huko ila kilimo cha msimu mara moja kwa mwaka
 
Nimepata uamisho kuelekea Isimani-Iringa, mwenye taarifa na eneo hili naomba anisaidie kujua fursa za uchumi zilizopo, pia tamaduni za watu wa huko pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo ili niweze kujiandaa.
Mtafute lukuvi
 
Ni wizara ya Kilimo kuna kituo cha kilimo. Sijafika bado hivyo sina taarifa za kutosha.
 
Umetokea wapi kwanza? Kusema kwei Iringa fursa zaidi ya Kilimo hamna. Tena Iringa yenyewe Isimani. Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…