Mwenye uelewa mpana kuhusu king'amuzi hiki

Mwenye uelewa mpana kuhusu king'amuzi hiki

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
74
Reaction score
134
Habari ya mchana ndugu zangu, samahani kwa yeyote anaejua au mwenye taarifa za kutosha kuhusiana na DVB t2 Satellite Receiver anisaidie plz.

Maana nmeckia kuwa ni kin'gamuzi kisichokuwa na malipo ya mwezi ni free channels yaaani una access channels zaidi ya 100 inategema na location Yako lkn minimum ni channels 80 mpk 90

Unachohitaji kuwa na antenna tu, au dish la futi 14

Channels za movies , mpira cartoon nk

Only at TSH 70,000
 
Tuanzie hapa
Dishi 14ft huwezi kulipata kiurahisi kwani bei yake ni zaidi ya 1.2m maada la 8ft ni 450,000
Mbili, kiufupi ukiondoa channels ambazo ni premium kama vile national geographic, discovery science etc zilizobaki nyingi ni za bure mfano hatuna channel ya habari inayouzwa eg aljazeera, BBC, DW, nhk, sky news, African news, tvc news, try, Russian today etc

Changamoto za fta
1. Ili upate channels nyingi utakavyo utahitaji uwe na dish zaidi ya moja
2. Kadri utakavyokuwa na dish kubwa ndio utakavyopata channels nyingi zaidi
3. Ubora wa receiver inayoendana na wakati kwani channels nyingi utazozipata nyingi zipo kwenye mfumo wa kisasa mfano Kuna baadhi ya channel za mipira zipo Kwa mfumo wa 4k
4. Na wewe mmiliki ukiwa na idea ya hili swala inakuwa rahisi hata siku wakibalidi symborate au frequency basi na wewe unabadili sio mpaka fundi
 
Back
Top Bottom