Mwenye uelewa na hivi vitofali vya kuchoma vya kubandika ukutani

Tofali hizo mzee hazibandikwi,zinajengewa,tanzania bado hatujapata matajiri wenye kumiliki hizo tanuru za kuchanganyia udongo na kuchomea hizo tofati,wenzetu kenya na uganda wanajengea sana hizo,kidogooo nilianza kuziona Arusha,zamani zilikuwepo Peramiho Misheni
zinabandikwa...

zipo za aina mbili, sqm 1 kwa 36,000/= na nyingine sqm 1 kwa Tsh 24,000/=
Unaweza kubandika bila kupiga plasta au baada ya kupiga plasta
 
Tofauti kati ya 36,000/= na 24,000/= ni nini?
 
Tofali hizo mzee hazibandikwi,zinajengewa,tanzania bado hatujapata matajiri wenye kumiliki hizo tanuru za kuchanganyia udongo na kuchomea hizo tofati,wenzetu kenya na uganda wanajengea sana hizo,kidogooo nilianza kuziona Arusha,zamani zilikuwepo Peramiho Misheni

Wapo watu niliona wanazitengeneza na mashine na kuziuza wapo dsm ,account yao ya insagram wanatumia hydraform_tanzania_
 
Cladding hizo mzee zinabandikwa after plaster. Zinavyatuliwa na kuchomwa kama matofali tu
 
Back
Top Bottom