Mwenye uelewa na hivi vitofali vya kuchoma vya kubandika ukutani

zinabandikwa...

zipo za aina mbili, sqm 1 kwa 36,000/= na nyingine sqm 1 kwa Tsh 24,000/=
Unaweza kubandika bila kupiga plasta au baada ya kupiga plasta
 
zinabandikwa...

zipo za aina mbili, sqm 1 kwa 36,000/= na nyingine sqm 1 kwa Tsh 24,000/=
Unaweza kubandika bila kupiga plasta au baada ya kupiga plasta
Tofauti kati ya 36,000/= na 24,000/= ni nini?
 
Wapo watu niliona wanazitengeneza na mashine na kuziuza wapo dsm ,account yao ya insagram wanatumia hydraform_tanzania_
 
Cladding hizo mzee zinabandikwa after plaster. Zinavyatuliwa na kuchomwa kama matofali tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…