Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama huna tamaa unapata faida boss mm huwa naagiza china oppo A 57 faida yake ni 50-60 kama huna tamaa ya kutaka kutajirika mapemaKwanza hawa oppo ni wajanja wajanja sana mkuu, kuna A57 inayokuja na Helio G35 na ipo inayokuja na Dimensity 810, hio yenye G35 ni kimeo, ya D810 angalau nzuri kidogo.
Angalia Jiji uone bei zinazouzwa Tanzania ni bei ndogo sana sidhani kama inalipa kutoa Dubai kuuza huku.
Kama unapata oneplus ni simu ambazo unaweza kuzikimbiza haraka huku.
Ipi sasa mkuu, hio yenye helio ama Dimensity?Kama huna tamaa unapata faida boss mm huwa naagiza china oppo A 57 faida yake ni 50-60 kama huna tamaa ya kutaka kutajirika mapema
kaka hzo simu kama ni mfanyabiashara wewe nunua zile za bei rahisi ambazo bongo utauza kuanzia 160-200 watanzania wengi hawaangalii processor wanaangalia price.Ipi sasa mkuu, hio yenye helio ama Dimensity?
Mfano huko Dubai kakutana na yenye Dimensity kauziwa laki 5 ama 6 then bongo zipo za helio zinauzwa laki 3, Unamconvice vipi mbongo wa kawaida akuelewe?