jamesandrew
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 240
- 580
Habari za asubuhi?
Natumaini wote tumeamka salama na tuko katika mapambano yetu ya kila siku ya maisha. Samahani naomba kufahamu kuhusu utaratibu wa kutembelea Serengeti kama Mtanzania.
1. Je gari aina za Coaster inayobeba abiria 30 inaruhusuiwa kuingi mbungani?
NB: Kama gari aina ya Coaster hairuhusiwi, je kuna gari za kukodi na gharama yake ikoje kwa mtanzania wa hali ya kawaida anayependa kwenda kutembelea kivutio icho?
2. Je gharama za mtanzania mtu mzima kuingia ni kiasi gani?
3. Kwa wageni wanatoka nje ya mkoa husika ambapo Serengeti ndo inapotikana huduma za chakula na maradhi zikoje?
4. Kuna lile ballon huwa linaonekana mara nyingi, je gharama zake zikoje kuweza kulipanda?
5. Je ni kitu gani kingine cha muhimu natakiwa kuzingatia wakati wa kujiandaa kwenda Serengeti?
Naomba kuwasilisha, asante sana.
Mungu awabariki nyote.
Muwe na kazi njema.

- Mikumi kuna ruksa hio unalipia kisha mnaingia na gari yenu.
- Ngorongoro kuingia na gari yako sharti ni lazima gari iwe 4x4.