Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Si korogwe girls mkuu,inaitwa magoma sec ni mchanganyiko iko korogweMkuu, ungeuliza kwanza korogwe girls ni miongoni wa shule bora mkoa wa Tanga na kwa wilaya hiyo wanakimbizana na mazinde juu
Yah hii shule ni mpya , iko vzr sana upande wa miundo mbinu imezinduliwa haina ata mwezKuna Shinyanga girls siku hizi?Ipo sehemu gani ?
Chap sasa ili tufanye tafakuriSawa
Hii shule ipo mkuu ina takriban mwez toka kuzinduliwa iko pembezon mwa mji hvo sio rahis kujulilana na kila mkaziKuna mtu mwenye ufahamu na hii shule ? Inaonekana ni mpya na mwanangu amepangiwa hapo form five PCM, chakushangaza wenyeji wa manispaa ya shinyanga mjini hawaijui, kama kuna Mwenye uelewa wa sehemu ilipo..na taarifa zizote zitakazosaidia kujua tunwamishe mapema au Laa. Asante.
Duuh hiyo kweli hata mimi siijuiSi korogwe girls mkuu,inaitwa magoma sec ni mchanganyiko iko korogwe
Upande wa miundo mbinu, maji ,afya iko vzur . Ishu ya walim sijajua kwamana shule ndio kwanza imeanzaUngeweka hapa kwa faida ya wote, kikubwa ni vitu kama walimu, maabara, maktaba na huduma muhimu zakuishi kama maji, afya n.k
Naomba na information za SARWATT Secondary, nimeona iko Mbulu....jinsi ya kufika huko[emoji31][emoji31][emoji22]Nichek dm nikupe info
Sipajui hukoNaomba na information za SARWATT Secondary, nimeona iko Mbulu....jinsi ya kufika huko[emoji31][emoji31][emoji22]
Unaweza kuambiwa inaandaliwa matokeo watapelekwa kusoma na kulala kwenye magodown kama walivyofanyiwa Dakawa TTCKuna mtu mwenye ufahamu na hii shule ? Inaonekana ni mpya na mwanangu amepangiwa hapo form five PCM, chakushangaza wenyeji wa manispaa ya shinyanga mjini hawaijui, kama kuna Mwenye uelewa wa sehemu ilipo..na taarifa zizote zitakazosaidia kujua tunwamishe mapema au Laa. Asante.
Wewe fuata joining instructions inavyosema kuanza kutulaumu na ishauzwa ni kutuonea bureKuna mtu mwenye ufahamu na hii shule ? Inaonekana ni mpya na mwanangu amepangiwa hapo form five PCM, chakushangaza wenyeji wa manispaa ya shinyanga mjini hawaijui, kama kuna Mwenye uelewa wa sehemu ilipo..na taarifa zizote zitakazosaidia kujua tunwamishe mapema au Laa. Asante.
Ilikupiga ndoige amaDah pcm sitakaa Nije nikusahau
Nilitoboa ila aisee sio kwa msuli ule, afu nimesoma shule yenye presha kubwa, watu wanaitana t.o(Tanzania one) yaani ukipata hata 1.9 bado unajiona bado sanaIlikupiga ndoige ama
We ni mzazi kweli!? Mbona inajieleza wazi hapo Shinyanga MC.