Mwenye ufahamu na Shinyanga Girls

Mwenye ufahamu na Shinyanga Girls

Mkuu, ungeuliza kwanza korogwe girls ni miongoni wa shule bora mkoa wa Tanga na kwa wilaya hiyo wanakimbizana na mazinde juu
Si korogwe girls mkuu,inaitwa magoma sec ni mchanganyiko iko korogwe
 
Kuna mtu mwenye ufahamu na hii shule ? Inaonekana ni mpya na mwanangu amepangiwa hapo form five PCM, chakushangaza wenyeji wa manispaa ya shinyanga mjini hawaijui, kama kuna Mwenye uelewa wa sehemu ilipo..na taarifa zizote zitakazosaidia kujua tunwamishe mapema au Laa. Asante.
Hii shule ipo mkuu ina takriban mwez toka kuzinduliwa iko pembezon mwa mji hvo sio rahis kujulilana na kila mkazi
 
Ungeweka hapa kwa faida ya wote, kikubwa ni vitu kama walimu, maabara, maktaba na huduma muhimu zakuishi kama maji, afya n.k
Upande wa miundo mbinu, maji ,afya iko vzur . Ishu ya walim sijajua kwamana shule ndio kwanza imeanza
 
Jana nlkua apo kwenye iyo shule n shule mpya iko butengwa mbele ya bushushu unakata kulia eneo flan plain kama mwanao anakuja kusoma apa jtahd mablanket mana kuna ule upepo wa barid kwa kipnd chote ni eneo ambalo halijachamgamka kwa lolote kwa mazingra ya usomaj wa bint n mazingira mazur sana ila awe makin mana kuna kambi ya jeshi njia hiyo kuelekea shulen wale ua ni wachafuzi sana na wamezagaa mitaa hiyo kwa kujenga jenga vi co temporary house vyao.
Nawasilisha
 
Kuna mtu mwenye ufahamu na hii shule ? Inaonekana ni mpya na mwanangu amepangiwa hapo form five PCM, chakushangaza wenyeji wa manispaa ya shinyanga mjini hawaijui, kama kuna Mwenye uelewa wa sehemu ilipo..na taarifa zizote zitakazosaidia kujua tunwamishe mapema au Laa. Asante.
Unaweza kuambiwa inaandaliwa matokeo watapelekwa kusoma na kulala kwenye magodown kama walivyofanyiwa Dakawa TTC
 
Shule mpya hizo zimejengwa kila mkoa ni za wasichana tu,zimeanza kuchuka wanafunzi mwezi huu kikubwa tafuta namba ya afisa elimu wa manispaa au mkoa akusaidie kwa ajili ya kumpokea mtoto
 
Kuna mtu mwenye ufahamu na hii shule ? Inaonekana ni mpya na mwanangu amepangiwa hapo form five PCM, chakushangaza wenyeji wa manispaa ya shinyanga mjini hawaijui, kama kuna Mwenye uelewa wa sehemu ilipo..na taarifa zizote zitakazosaidia kujua tunwamishe mapema au Laa. Asante.
Wewe fuata joining instructions inavyosema kuanza kutulaumu na ishauzwa ni kutuonea bure
 
Shule isiyo na taarifa hata mtandaoni lazima ni mpya.

BTW:Naona siku hizi girls' secondary schools zinaongezeka Shinyanga baada ya Tinde girls High school.
 
Ilikupiga ndoige ama
Nilitoboa ila aisee sio kwa msuli ule, afu nimesoma shule yenye presha kubwa, watu wanaitana t.o(Tanzania one) yaani ukipata hata 1.9 bado unajiona bado sana
 
Back
Top Bottom