Mwenye ufahamu wa Mazda Demio

Mwenye ufahamu wa Mazda Demio

ERoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
48,052
Reaction score
104,677
Naomba mwenye kujua vizuri haya magari, hasa model za 2004 kurudi nyuma. Uzoefu wa spare parts, fuel consumption, kuhimili mikiki ya njia zetu nk.
uploadfromtaptalk1469945275670.jpg
uploadfromtaptalk1469945282740.jpg
uploadfromtaptalk1469945287312.jpg
 
Ngoja nami niwe mwanafunzi nifuatilie haya mambo hapa mtani wangu.
 
Gati ngumu sana mazda hatabukipiga mawe halibondeki
 
Ni gari nzuri sana. Mafuta inatumia vizuri.
Haiharibiki hovyohovyo.
Tatizo ni upatikanaji wa spare parts.
Tatizo kivipi? Kama mtu anaweza kuagiza gari Japan anashindwa vipi kuagiza Spare Parts? Watanzania tubadilike!!
 
Tatizo kivipi? Kama mtu anaweza kuagiza gari Japan anashindwa vipi kuagiza Spare Parts? Watanzania tubadilike!!
Hiyo unayosema ni nadharia.
Nadharia na vitendo ni tofauti wakati mwingine.

Shida sio kuipata spare parts, fikiria kwa upana gharama na muda utakaochukua mpaka kuipata. Halafu uuzwaji wa spare ni tofauti na uuzwaji wa gari.
 
Tatizo kivipi? Kama mtu anaweza kuagiza gari Japan anashindwa vipi kuagiza Spare Parts? Watanzania tubadilike!!
Swala la spare parts ni muhimu kulipa kipaumbele kiongozi. Huwezi kuwa unaagiza vipuri kila ukihitaji, wakati toyota nyingi zina vipuri vya kutosha mjini.
 
Kumbe sio imara[emoji24]. Kuna mtu aliniaminisha kuwa Mazda zipo imara sana. Inaweza kuwa kama Nadia au Spacio? (Hizo product mbili sizikubali kabisa)
Nakuhakikishia kuwa ni imara sana. Ni roho ya paka.
 
Kumbe sio imara[emoji24]. Kuna mtu aliniaminisha kuwa Mazda zipo imara sana. Inaweza kuwa kama Nadia au Spacio? (Hizo product mbili sizikubali kabisa)
Ni imara sana kwa safari fupi na kama hubebi mizigo mizito mara kwa mara kwakuwa body lake na chasis yake sio chuma bali ni bati gumu
 
Ni imara sana kwa safari fupi na kama hubebi mizigo mizito mara kwa mara kwakuwa body lake na chasis yake sio chuma bali ni bati gumu
[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] Hako ukila mzinga kanapinda mpaka chassis
 
Nilikuwa na Mazda demio,inatumia mafuta kidogo sana kilomita 15 kwa 1lita.Vifaa vyake vipo juu sana.Kwa mfano shock up za nyuma tu zinauzwa 960,000/=
 
Nilikuwa na Mazda demio,inatumia mafuta kidogo sana kilomita 15 kwa 1lita.Vifaa vyake vipo juu sana.Kwa mfano shock up za nyuma tu zinauzwa 960,000/=
Thanx kwa jibu lenye uhalisia zaidi. Kwa hiyo Inawezekana kabisa vipuri ni ghali sana. Hata hivyo nimeanza kuziona sana mjini, hasa new models...
 
Hiyo unayosema ni nadharia.
Nadharia na vitendo ni tofauti wakati mwingine.

Shida sio kuipata spare parts, fikiria kwa upana gharama na muda utakaochukua mpaka kuipata. Halafu uuzwaji wa spare ni tofauti na uuzwaji wa gari.
Umewahi kuagiza Spare Parts? Kipi Gharama, kuagiza spare halisi ambayo utaipata ndani ya wiki moja au mbili au kwenda kununua spare feki ya Toyota? Hizo spare mnazosema ni rahisi kupatikana nyingi ni feki au used ambazo uimara wake ni wa kubabaisha sanaaa.
Tatizo kubwa wabongo wengi ni waoga sana wa vitu vidogo vidogo. Mtu unaagiza gari unalisubiria miezi miwili ila unaogopa kuagiza Spare Parts!
 
Back
Top Bottom