Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kivipi? Kama mtu anaweza kuagiza gari Japan anashindwa vipi kuagiza Spare Parts? Watanzania tubadilike!!Ni gari nzuri sana. Mafuta inatumia vizuri.
Haiharibiki hovyohovyo.
Tatizo ni upatikanaji wa spare parts.
Hiyo unayosema ni nadharia.Tatizo kivipi? Kama mtu anaweza kuagiza gari Japan anashindwa vipi kuagiza Spare Parts? Watanzania tubadilike!!
Swala la spare parts ni muhimu kulipa kipaumbele kiongozi. Huwezi kuwa unaagiza vipuri kila ukihitaji, wakati toyota nyingi zina vipuri vya kutosha mjini.Tatizo kivipi? Kama mtu anaweza kuagiza gari Japan anashindwa vipi kuagiza Spare Parts? Watanzania tubadilike!!
Kumbe sio imara[emoji24]. Kuna mtu aliniaminisha kuwa Mazda zipo imara sana. Inaweza kuwa kama Nadia au Spacio? (Hizo product mbili sizikubali kabisa)Kigari kizuri hasa kwenye fuel consumption ila sio imara kama wewe ni mtu wa mishemishe na safari ndefu
Nakubaliana na wewe kiongozi.Hiyo unayosema ni nadharia.
Nadharia na vitendo ni tofauti wakati mwingine.
Shida sio kuipata spare parts, fikiria kwa upana gharama na muda utakaochukua mpaka kuipata. Halafu uuzwaji wa spare ni tofauti na uuzwaji wa gari.
Nakuhakikishia kuwa ni imara sana. Ni roho ya paka.Kumbe sio imara[emoji24]. Kuna mtu aliniaminisha kuwa Mazda zipo imara sana. Inaweza kuwa kama Nadia au Spacio? (Hizo product mbili sizikubali kabisa)
Ni imara sana kwa safari fupi na kama hubebi mizigo mizito mara kwa mara kwakuwa body lake na chasis yake sio chuma bali ni bati gumuKumbe sio imara[emoji24]. Kuna mtu aliniaminisha kuwa Mazda zipo imara sana. Inaweza kuwa kama Nadia au Spacio? (Hizo product mbili sizikubali kabisa)
[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] Hako ukila mzinga kanapinda mpaka chassisNi imara sana kwa safari fupi na kama hubebi mizigo mizito mara kwa mara kwakuwa body lake na chasis yake sio chuma bali ni bati gumu
Thanx kwa jibu lenye uhalisia zaidi. Kwa hiyo Inawezekana kabisa vipuri ni ghali sana. Hata hivyo nimeanza kuziona sana mjini, hasa new models...Nilikuwa na Mazda demio,inatumia mafuta kidogo sana kilomita 15 kwa 1lita.Vifaa vyake vipo juu sana.Kwa mfano shock up za nyuma tu zinauzwa 960,000/=
Umewahi kuagiza Spare Parts? Kipi Gharama, kuagiza spare halisi ambayo utaipata ndani ya wiki moja au mbili au kwenda kununua spare feki ya Toyota? Hizo spare mnazosema ni rahisi kupatikana nyingi ni feki au used ambazo uimara wake ni wa kubabaisha sanaaa.Hiyo unayosema ni nadharia.
Nadharia na vitendo ni tofauti wakati mwingine.
Shida sio kuipata spare parts, fikiria kwa upana gharama na muda utakaochukua mpaka kuipata. Halafu uuzwaji wa spare ni tofauti na uuzwaji wa gari.