Mwenye uhiitaji wa kuangaliziwa nyumba nipo

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,

Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,

NB: Nina familia mke na watoto 2, napatikana MARA

Asanteni🙏🙏
 
Ninaomba kama kuna ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,

utapata chief
 
Dah pole sana asee. Uliposema unafamilia na watoto wawili nimehuzunika japobsikujui wala sijui status ya maisha yako.
 
Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,

Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,

NB: Nina familia mke na watoto 2, napatikana MARA

Asanteni
NAKUSHAURI , unangalizi wa shamba ni mzuri kuliko nyumba. kuna watu wana mashamba makubwa ya klimo na ufugaji
 
Ilikaribia kidogo nipoteze shamba langu Njopeka.

Nilinunua shamba kwa Mzee wa Kizaramo Heka 3. Mzee akasema nimuachie aendelee kulima mpaka siku nikilihitaji ataondoka.

Kimfaacho mtu chake, siku nimekwama nikataka kuliuza mzee akaja juu kuwa hawezi kuondoka maana nilishamruhusu aendelee na kilimo hivyo alishawekeza nguvu yake. Kipindi anaongea hayo ameshavuna, hakuna mazao yeyote.

Kilichokuja kunisaidia ni Bomba la Songas kupita eneo hilo. Ilikuwa wanalipa fidia na hupewi fidia bila ya nyaraka za eneo. Mzee hakuwa nazo, nikachukua changu mzee akabaki ku deal na watu wa Songas tena.

Point ninayojaribu kuweka hapa ni kwamba wengi wanaopewa uangalizi wa nyumba hasa wa muda mrefu hujipweteka na kuishia kuhisi ni wamiliki kabisa wa maeneo husika. Mara nyingi huwa wasumbufu ikifika wakati wa kuondoka.

Anyways kila heri.
 
NAKUSHAURI , unangalizi wa shamba ni mzuri kuliko nyumba. kuna watu wana mashamba makubwa ya klimo na ufugaji
Huko shamba pia kutakuwa na nyumba mkuu, kwa maana nikipata vyote hakuna shida maana nina uhitaji wa Nyumba sana,
 
Ilikaribia kidogo nipoteze shamba langu Njopeka.

Nilinunua shamba kwa Mzee wa Kizaramo Heka 3. Mzee akasema nimuachie aendelee kulima mpaka siku nikilihitaji ataondoka.

Kimfaa mtu chake, siku nimekwama nikataka kuliuza mzee akaja juu kuwa hawezi kuondoka maana nilishamruhusu aendelee na kilimo hivyo alishawekeza nguvu yake. Kipindi anaongea hayo ameshavuna, hakuna mazao yeyote.

Kilichokuja kunisaidia ni Bomba la Songas kupita eneo hilo. Ilikuwa wanalipa fidia na hupewi fidia bila ya nyaraka za eneo. Mzee hakuwa nazo, nikachukua changu mzee akabaki ku deal na watu wa Songas tena.

Point ninayojaribu kuweka hapa ni kwamba wengi wanaopewa uangalizi wa nyumba hasa wa muda mrefu hujipweteka na kuishia kuhisi ni wamiliki kabisa wa maeneo husika. Mara nyingi huwa wasumbufu ikifika wakati wa kuondoka.

Anyways kila heri.
Hiyo ni mali yako mkuu, siku ukisema nikupishe ntatoka nami ntakuwa kidogo nimepiga hatua flani,
 
Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,

Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,

NB: Nina familia mke na watoto 2, napatikana MARA

Asanteni🙏🙏
Kuns uzi humu unamtafuta mtu kama wewe Kisarawe
Hilo sharti isije mwisho wa siku ukajimilikisha
 
The homeless married man with two kids, he is willing to live for free in another man's house. Is he ready to pay for it as a tenant? No no no he will just keep that 🏠 and maintain it for the landlord
 
Mkuu wewe una nyaraka na vibali, halafu mimi nipo mikono mitupu unafikiri nani atashinda hapo😃
Umewahi kumsikia mtu anaitwa Tuntemeke Nitu Gumbwa Sanga!? Tafutanyuzi za maisha yake humu kisha uje hapa
 
Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,

Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,

NB: Nina familia mke na watoto 2, napatikana MARA

Asanteni🙏🙏
Unataka ukae na familia yako au ni wewe tu hujaspecify mkuu, ili wajue
 
Back
Top Bottom