utapata chiefHabari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,
Ninaomba kama kuna ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,
NB: Nina familia mke na watoto 2, napatikana MARA
Asanteni🙏🙏
Asante mkuu🙏utapata chief
Dah pole sana asee. Uliposema unafamilia na watoto wawili nimehuzunika japobsikujui wala sijui status ya maisha yako.Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,
Ninaomba kama kuna ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,
NB: Nina familia mke na watoto 2, napatikana MARA
Asanteni🙏🙏
vijana wa kiume,kila kuchwao tuna face challenge mpya .Asante mkuu🙏
NAKUSHAURI , unangalizi wa shamba ni mzuri kuliko nyumba. kuna watu wana mashamba makubwa ya klimo na ufugajiHabari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,
Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,
NB: Nina familia mke na watoto 2, napatikana MARA
Asanteni
Huko shamba pia kutakuwa na nyumba mkuu, kwa maana nikipata vyote hakuna shida maana nina uhitaji wa Nyumba sana,NAKUSHAURI , unangalizi wa shamba ni mzuri kuliko nyumba. kuna watu wana mashamba makubwa ya klimo na ufugaji
Hiyo ni mali yako mkuu, siku ukisema nikupishe ntatoka nami ntakuwa kidogo nimepiga hatua flani,Ilikaribia kidogo nipoteze shamba langu Njopeka.
Nilinunua shamba kwa Mzee wa Kizaramo Heka 3. Mzee akasema nimuachie aendelee kulima mpaka siku nikilihitaji ataondoka.
Kimfaa mtu chake, siku nimekwama nikataka kuliuza mzee akaja juu kuwa hawezi kuondoka maana nilishamruhusu aendelee na kilimo hivyo alishawekeza nguvu yake. Kipindi anaongea hayo ameshavuna, hakuna mazao yeyote.
Kilichokuja kunisaidia ni Bomba la Songas kupita eneo hilo. Ilikuwa wanalipa fidia na hupewi fidia bila ya nyaraka za eneo. Mzee hakuwa nazo, nikachukua changu mzee akabaki ku deal na watu wa Songas tena.
Point ninayojaribu kuweka hapa ni kwamba wengi wanaopewa uangalizi wa nyumba hasa wa muda mrefu hujipweteka na kuishia kuhisi ni wamiliki kabisa wa maeneo husika. Mara nyingi huwa wasumbufu ikifika wakati wa kuondoka.
Anyways kila heri.
Kuns uzi humu unamtafuta mtu kama wewe KisaraweHabari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,
Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,
NB: Nina familia mke na watoto 2, napatikana MARA
Asanteni🙏🙏
Nipo Musoma kiongozi
Mkuu wewe una nyaraka na vibali, halafu mimi nipo mikono mitupu unafikiri nani atashinda hapo😃Kuns uzi humu unamtafuta mtu kama wewe Kisarawe
Hilo sharti isije mwisho wa siku ukajimilikisha
Umewahi kumsikia mtu anaitwa Tuntemeke Nitu Gumbwa Sanga!? Tafutanyuzi za maisha yake humu kisha uje hapaMkuu wewe una nyaraka na vibali, halafu mimi nipo mikono mitupu unafikiri nani atashinda hapo😃
Unataka ukae na familia yako au ni wewe tu hujaspecify mkuu, ili wajueHabari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,