Mkuu ungeweka range yake ya malipo kwa mwezi ingekuwa rahisi kwa nafasi ya msaidizi wa nyumbani au dukaniMerry Xmas !
Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze
Ana miaka 25
Anajua kupika
Anajua kufua
Anaweza kupanga nyumba vizuri
Kazi ya duka anaweza pia.....
Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
Asante.Kama upo seriuos ruka pm
Mungu amfanyie njia pasipo na na njia. Naumia sana moyo wako Kwa watu ambao wanaitwa wadada wa kazi.. ni ka utumwa flani kalikopoa uki kaangalia Kwa ndani, unless apate watu watao muona kama part ya mtoto wao na familia yaoMerry Xmas !
Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze
Ana miaka 25
Anajua kupika
Anajua kufua
Anaweza kupanga nyumba vizuri
Kazi ya duka anaweza pia.....
Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
Ndivyo maisha yalivyoMungu amfanyie njia pasipo na na njia. Naumia sana moyo wako Kwa watu ambao wanaitwa wadada wa kazi.. ni ka utumwa flani kalikopoa uki kaangalia Kwa ndani, unless apate watu watao muona kama part ya mtoto wao na familia yao
Inaonekana ndivyo maisha yalivyo, lakini nahisi haipaswi kuwa hivyo. Ila hizi ni akili zangu na mawazo yangu. Nimeishakuwa na dada wa kunisaidia majukumu. Nilimsomesha yule mtoto alikuwa ndugu yangu kabisa badae.. Huwa naumia mtu akiwa kama slavery Kwa gia ya dada wa kazi . All in all mawazo hayafananiNdivyo maisha yalivyo
Yote ni kati Hali ya kujitafuta kimaisha .Inaonekana ndivyo maisha yalivyo, lakini nahisi haipaswi kuwa hivyo. Ila hizi ni akili zangu na mawazo yangu. Nimeishakuwa na dada wa kunisaidia majukumu. Nilimsomesha yule mtoto alikuwa ndugu yangu kabisa badae.. Huwa naumia mtu akiwa kama slavery Kwa gia ya dada wa kazi . All in all mawazo hayafanani
Mungu amsaidie, na Mungu ampatie kibali huko atapopata kazi, awe sehemu ya familia na waione thamani yakeYote ni kati Hali ya kujitafuta kimaisha .