Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

Mallerina nadhani unatakiwa kuelewa kuwa kwa umri wa miaka 25, binti sasa ni mtu mzima. Si ajabu kesheanza kupatapata dose. Tatizo linaanza pale ambapo atatakiwa kukaa geti Kali. Pili kwa umri huo, binti anafurahi kuishi kwake si kukaa na BOSI . Ndo maana, Siku hizi kuna hotpot na vikolombwezo baki ili Mfanyakazi wa nyumbani akimaliza kazi zake, aondoke. Kulazimisha mabinti ambao aidha keshatotoa au kesha shusha injini kulea mtoto ni hatari, kwani wakati mwingine anampa uchungu. Binti wa kulea mtoto yafaa asiwe keshayajua majambo jambo.

Ni ushauri tu mamy cute
 
Ila huyu tunaweza kumsaidia bado

Tunaweza kumasaidia ......tusimyime kZi sababi ya umri na tusimhukumu kwa makosa ya engine❤️
 
Nahitaji nipo mwanza ni wa kushinda, na nyumba tu tunapokuwa job tuna mtoto sio mdogo sana yupo class1 2026 na kazi ndogo ndogo offer yangu ni 40k kwa mwezi, atapata na bima ya afya
 
Back
Top Bottom