Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

Merry Xmas !
Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze
Ana miaka 25
Anajua kupika
Anajua kufua
Anaweza kupanga nyumba vizuri

Kazi ya duka anaweza pia.....

Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
Nahitaji mfanyakazi nina shid nae sana hata leo leo ila kwa umri huo kashakomaa sana kikazi wengi hua na viburi sana wakishazoea wanadharaua boss wao wa kike maana wanaona kam wanalingana😆
 
Nahitaji mfanyakazi nina shid nae sana hata leo leo ila kwa umri huo kashakomaa sana kikazi wengi hua na viburi sana wakishazoea wanadharaua boss wao wa kike maana wanaona kam wanalingana😆
Aya
 
Mungu amfanyie njia pasipo na na njia. Naumia sana moyo wako Kwa watu ambao wanaitwa wadada wa kazi.. ni ka utumwa flani kalikopoa uki kaangalia Kwa ndani, unless apate watu watao muona kama part ya mtoto wao na familia yao
KAZI ZOTE ZA KUAJIRIWA NI UTUMWA FULL STOP.
 
Back
Top Bottom