Mwenye ukweli kamili juu ya Mzozo wa Mtangazaji Maulid Kitenge (CCM) na John Mrema (CHADEMA) auweke wazi

Mwenye ukweli kamili juu ya Mzozo wa Mtangazaji Maulid Kitenge (CCM) na John Mrema (CHADEMA) auweke wazi

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Nimeambiwa kuwa Wasafi FM Leo asubuhi wamenichafua saana na kusema kuwa mke wangu ni Mbunge kwa sababu tu nilimtaka Spika wa Bunge aache Propaganda.

Ndugu Maulid Kitenge aniombe radhi Ndani ya 24 hours as Sina mke Mbunge na sijawahi kuwa naye.

Asipofanya hivyo nitajiongeza! John Mrema
 
Kitenge ni jilani yangu kabisa hizo habari za ukada hanaga mpango kabisa
Endelea kujidaganya .... Kitenge ni wale ccm kindakindaki na hapendi kinachoendelea ....

In God we Trust
 
  • Thanks
Reactions: prs
Haji Manara ni wale wale kina Zembwela hana elimu
ISIJE KUWA YALE YA JERRY MURO NA MWENZIE MANARA....
MANARA ALISEMA KUNA JAMBO ANALO KUHUSU MURO AMBALO AKILISEMA NCHI NZIMA ITASIMAMA NA ATAVULIWA CHEO ALICHONACHO.
HADI LEO JERRY MURO KATULIA TULIIIIII

In God we Trust
 
Uko sahihi , Zembwela anajipendekeza ccm , halafu cha kusikitisha ccm haijawahi kumthamini , amuangalie Nchambi kama mfano hai .

Shetani hana rafiki .
Zembwela ana ndoto za kuteuliwa kushika udc!

In God we Trust
 
Back
Top Bottom