Mwenye ukweli kamili juu ya Mzozo wa Mtangazaji Maulid Kitenge (CCM) na John Mrema (CHADEMA) auweke wazi

Mwenye ukweli kamili juu ya Mzozo wa Mtangazaji Maulid Kitenge (CCM) na John Mrema (CHADEMA) auweke wazi

Zembwela tatizo lake ni shule tu, sina uhakika hata na angalau form four amefika

In God we Trust

Nikusaidie tu hana hiyo Elimu, ila IQ yake nina uhakika inawazidi Wasomi wengi ( ukiwemo nawe pia ) mpaka Kimaendeleo pia.
 
Kitenge ni jilani yangu kabisa hizo habari za ukada hanaga mpango kabisa

In God we Trust

Ni Jirani yako wapi Masaki kule mitaa ya karibia na Slip Way au kule Kwao Temeke alikokulia hasa jirani na Uwanja wa Uhuru?
 
Zembwela ana ndoto za kuteuliwa kushika udc!

In God we Trust

Na kwa CCM ya sasa ya Mheshimiwa Mkemia sana hilo linawezekana na huenda hii post yako ikamfanya amteue hata Kesho tu.
 
Haji Manara ni wale wale kina Zembwela hana elimu

In God we Trust

Ushauri wangu mkubwa Kwako Ndugu kama ukijua kuwa huna uhakika au hujui Jambo basi acha Kukurupuka Kulisemea sawa?
 
Nimeambiwa kuwa Wasafi FM Leo asubuhi wamenichafua saana na kusema kuwa Mke wangu ni Mbunge kwa sababu tu nilimtaka Spika wa Bunge aache Propaganda. Ndugu Maulid Kitenge aniombe radhi Ndani ya 24 hours as Sina mke Mbunge na sijawahi kuwa naye. Asipofanya hivyo nitajiongeza!..John Mrema
Uombwe msamaha we nani bwana [emoji706][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu mkubwa Kwako Ndugu kama ukijua kuwa huna uhakika au hujui Jambo basi acha Kukurupuka Kulisemea sawa?
Sina haja ya ushauri wako

In God we Trust
 
Back
Top Bottom