Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
machoko ya wafiraji na matekaji mmeshikwa koo nguruwe kasoro mkiaAnatusaidia nini sisi?
machoko ya wafiraji na matekaji mmeshikwa koo nguruwe kasoro mkiaAnatusaidia nini sisi?
Somo la sheria lingefutwa tu ni kupotezana muda, sasa hayo.maswali ya kipuuzi yanasaidia nini.Twende ukurasa wa BBC Swahili facebook kuna hizo dodoso(cross examination) nzuri kabisa View attachment 3648176
Tusaidiane mlioko Dar mahakamani mtupe dondoo kidogo.
Mkuu leo sina muda wa kutosha wa kuandika. Ila kama una muda wa kutosha unaweza ukakopi hapa kwenye link na ukaja kupaste watu wasipitwe. Si wote wapo FacebookTusaidiane mlioko Dar mahakamani mtupe dondoo kidogo.
Yaani huyu Shahid kama cross zinapigwa vile, Kesho hajiYaani mpaka Shahid anaonekana kama anataka kwenda kushusha mzigo