11 /08/2026
EPISODE 38 11/08/2026 : Tundu Lissu akiendelea kumuhoji shahidi maswali ya dososo shahidi wa 16 wa jamhuri ACP Amin Mahamba baada ya kumaliza kutoa ushahidi wake mahakamani siku ya jana endelea kutufatilia Moja Kwa Moja kwa updates kutoka mahakamani. View: https://m.youtube.com/watch?v=DmS_S3zMpos
Mkuu leo sina muda wa kutosha wa kuandika. Ila kama una muda wa kutosha unaweza ukakopi hapa kwenye link na ukaja kupaste watu wasipitwe. Si wote wapo Facebook