Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

He didn't win the election instead he was installed by stolen votes in a rigged election results. It's a pity that this defective constitution of the URT doesn't provide for citizens to challenge the results in a court of law like what happened in Malawi recently or in Kenya few years ago.
 
Mimi bado naisubiria Tanzania ya viwanga, sema siku hizi kama vile wamejisahaulisha.
 
Bahati mbaya mnawapotosha wajinga wenzenu. Taarifa zinatolewa mara kwa mara hamfuatilii, mnakuja humu kuropoka. Pumbavu!
Wapumbavu ninyi pumzi imekata. Kelele nyingi kama baiskeli ya kunolea, lakini haisogei. Spidi ya kufanya updates ni sifuri sasa kuonesha mshakwama sasa na u-donor country wenu. Uchumi mmeua na maendeleo hayaonekani vile vile zaidi ya kelele tu.
 
Wewe nawe unawasikiliza hao wajinga? Hakuna kitu ni mbwembwe za kutuona sisi wajinga wakati tunaelewa wao ndio wajinga.
Actually sisi ndo wajinga, maana tunawapa madaraka watu ambao tunajua kabisa wanaenda kujaza mifuko yao tu. Mwisho wa siku maisha yetu yanaendelea kuwa chini wakati wao wanatoroka na Matrilion ya mahela na muda wao wa ofisi ukiisha wanakula pension ndefu sana plus protective security till they die.
 
Pumzi imekata walisema umeme kukatika itakuwa historia huku kwetu ni siku ya tatu hatuna umeme

alafu anakuja mjinga mmoja na manguo yake ya kijani, anasema nchi ya viwanda.

Kufika October nchi itakuwa hoi kiuchumi
 
Mataga pumuzi imekata, hamna cha kuonyesha, huu mwaka wa uchaguzi
 
Acha ujinga dogo, kwa nini usiwaelekeze site reli inapojengwa unawaelekeza u tube?

Sema nenda station ya pugu, au pale ngerengee, ukajionee kwa macho

kama unajiamini waambie waingie kwenye google eath wadownload picha za satelite.
Hamuwezi kuwadanganya watu waliowazidi akili YouTube ni usanii mtupu
 
Dogo unaongea siasa wakati umeajiliwa na polepole anakulipa buku 7 kwa simu,

njoo huku mtaani ukkumbane na changamoto za kuanzisha hivyo viwanda, siyo rahisi kama unavyosimulia,

bado hatuna Sera nzuri ya viwanda, kuna makelele mengi bila uhalisia
 

Well said and aptly put.
 

Keep on dreaming.
 
Mkoa wa Tanga kwa sasa ni miongoni mwa mikoa migumu iliyodorora kiuchumi

Kutokana na hali ngumu sana na ukata uliopitiliza nakumbuka wakati wa uzinduzi wa Bomba la HOIMA Wanatanga waliaminishwa kuwa neema kubwa inakuja kiasi cha kudhani kuwa lile bomba litapitisha pesa zitakazomwagika mitaa ya Tanga na vitongoji vyake

Hatimae ilifikirika watu wangechota mapesa kedekede na kufikia mwisho wa kushindia mihogo na badala yake kuanza kula neema ya mikate ya kumimina kwa samaki wa kupaka huku vijana wakiendelea kuchota mapesa kutoka bomba hilo madoo kwa mandoo na sio kukaa Katika kila njia panda na bodaboda zao

Kwa maana sasaivi Tanga kila kijana ni dereva wa bodaboda ukipata kila njia panda utakuta lundo la vijana na bodaboda zao kiasi imekua Biashara ngumu na wateja hakuna

Kuna mtu akauliza kwani litakua na tofauti gani na lile laTAZAMA ambalo linapitisha mafuta tu na huku bado wanairinga wana njaa ????





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upotoshaji, ununuaji wa ndege kwa cash haukuwa kipaombele cha wananchi bali ni kipaombele cha rais. Hizo pesa ni vyema zingepelekwa kwenye kilimo, kisha ndege tukakopa tukawa tunalipa kutokana na faida.
Hiyo uliemjibu hana alijualo.
 

You're correct to da dot my fellow citizen.The world over knows that Magufuli from CCM never won the 2015 General Election. It was Edo Ngoyayi Lowassa of CHADEMA!

To prove that the winner of the Presidential Election was from CHADEMA is this:
1. Magufuli marked CHADEMA party and its Leaders as ENEMY numero uno(number 1).

2. Immediately after sworn in he(Magufuli) instructed to stop all opposition parties public meeting and demonstration all over the country for 5 years(2016-2020)

3. Any outspoken CHADEMA Leader or an MP must be punished severely when he/she critisize his Excellency Magufuli.

4. Strategies were planned and set in place to make sure that all opposition MP and Leaders especially CHADEMA must be provoked to create conducive enviros for them to make some mistakes which will be turned into complicated cases before the Court of Law!
5. CCM Government must set aside some funds to bribe MPs and Leaders from CHADEMA so that they can migrate from CHADEMA to CCM. We've all witnessed this move!

In view of the 5 reasons above Magufuli is at comfort zone for the coming GE-2020!
 
Wewe taratibu turudi kwenye lugha yetu ya Kiswahili! Nayo ni nzuri tu.
 

Why can't you then relocate to Malawi or Kenya where you think their laws are your preference?
 
March 20, 2020

Mpakani mwa mikoa ya Mbeya na Rukwa ktk barabara ya kutoka Tabora mpaka Mbeya. Diwani kata ya Bwawani Makongolosi aelezea hali halisi

 
Chunya, Mbeya

Miundombinu ya barabara Chunya

Daraja lawa mwiba kwa wawekezaji wenye migodi Chunya , malori changamoto kutokana na udogo wa daraja Chunya kuekekea Makongolosi.
DC Chunya aongea kuhusu sehemu hiyo korofi inayohudumu malori, mabasi na magari yatokayo Mbeya kwenda Tabora, Manyoni mpaka hata Singida.


Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
March 21, 2020
Chunya, Mbeya

TANROAD, DC na Mzee Njelu Kasaka wazungumza

Daraja la mto Lupa mafuriko, mbunge wa zamani wa Chunya, Mzee Njelu Kasaka amesema hali hiyo ya maji kujaa haitaacha mpaka mwezi September 2020 na hivyo changamoto ya usafiri bado ipo


Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…