EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
Hii ndiyo namna yako ya kujibu hoja great thinker?Mataga pumuzi imekata, hamna cha kuonyesha, huu mwaka wa uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo namna yako ya kujibu hoja great thinker?Mataga pumuzi imekata, hamna cha kuonyesha, huu mwaka wa uchaguzi
Rudisheni kwanza majengo ya serikali na mali za wananchi mlizopora.Quinine, Mmemaliza kujenga ofisi pale ufipa, tupeni update mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anayeweza "kufika na ku-reside" jf naanzaje kumwelekeza site ya ujenzi ya SGR! Assumption ni kuwa hapa jukwaani kuna watu wazima tu ambao hujua ni nini wanaongelea. Mwana jf asiyejua reli hiyo inajengwa wapi nikishambaini hata post zake naacha kusoma maana hayuko pahala sahihi.Acha ujinga dogo, kwa nini usiwaelekeze site reli inapojengwa unawaelekeza u tube?
Sema nenda station ya pugu, au pale ngerengee, ukajionee kwa macho
kama unajiamini waambie waingie kwenye google eath wadownload picha za satelite.
Hamuwezi kuwadanganya watu waliowazidi akili YouTube ni usanii mtupu
Nasema siku zote. Nchi haitaendelezwa na cheap thinkers! Kwa hiyo kwako wewe yeyote anayeunga mkono initiative flani ya serikali ni mwanaCCM au wamemwajili kuwatetea majukwaani. Na hapo utakuta unajiita mwanademokrasia! Wonders will never end!Dogo unaongea siasa wakati umeajiliwa na polepole anakulipa buku 7 kwa simu,
njoo huku mtaani ukkumbane na changamoto za kuanzisha hivyo viwanda, siyo rahisi kama unavyosimulia,
bado hatuna Sera nzuri ya viwanda, kuna makelele mengi bila uhalisia
Mradi wa Tanga-Hoima utakuwa na manufaa makubwa endapo utatekelezwa. Lakini suala la watu kudhani mradi huo utawapatia pesa za kuchota, kuanza kula samaki wa kupaka na kuacha kushindia mihogo ni fikra za mtu husika. Ambazo kimsingi huwezi kuzidhibiti.Mkoa wa Tanga kwa sasa ni miongoni mwa mikoa migumu iliyodorora kiuchumi
Kutokana na hali ngumu sana na ukata uliopitiliza nakumbuka wakati wa uzinduzi wa Bomba la HOIMA Wanatanga waliaminishwa kuwa neema kubwa inakuja kiasi cha kudhani kuwa lile bomba litapitisha pesa zitakazomwagika mitaa ya Tanga na vitongoji vyake
Hatimae ilifikirika watu wangechota mapesa kedekede na kufikia mwisho wa kushindia mihogo na badala yake kuanza kula neema ya mikate ya kumimina kwa samaki wa kupaka huku vijana wakiendelea kuchota mapesa kutoka bomba hilo madoo kwa mandoo na sio kukaa Katika kila njia panda na bodaboda zao
Kwa maana sasaivi Tanga kila kijana ni dereva wa bodaboda ukipata kila njia panda utakuta lundo la vijana na bodaboda zao kiasi imekua Biashara ngumu na wateja hakuna
Kuna mtu akauliza kwani litakua na tofauti gani na lile laTAZAMA ambalo linapitisha mafuta tu na huku bado wanairinga wana njaa ????
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ndg ni Dhahiri kuwa umekaukiwa hoja.CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Chadema at work,WATANZANIA na dunia nzima tuko busy na corona ila nyinyi mko busy na saccos ya wavamia magereza!
Tangu lini DJ akaweza kuongoza busara ya wavuta bhange kama kina mdee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watoto mnaadika ujinga mi Niko namiliki viwanda naziona chanamoto nyingi zinasabishwa na wanasiasaNasema siku zote. Nchi haitaendelezwa na cheap thinkers! Kwa hiyo kwako wewe yeyote anayeunga mkono initiative flani ya serikali ni mwanaCCM au wamemwajili kuwatetea majukwaani. Na hapo utakuta unajiita mwanademokrasia! Wonders will never end!
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said. Miongoni mwa vitu vinavyokera ni kuona mtu anajitutumua kuhabarisha kuhusu kitu ambacho ni dhahili hana alijualo.stupid. hivi katika akili yako unajua mu7 ndio analeta bomba tz. bomba linaletwa na kampuni ya total. total ndio wenye visima uganda na wao ndio wanatoa $4 billion za kujenga bomba. na total ndio walimgomea mu7 kupeleka bomba kenya. hivi mbona mnashindwa kujua hata vitu raisi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu hakiwi ujinga kwa kuwa tu wewe mmiliki wa viwanda unatamani iwe hivyo bali yakupasa kuonesha ujinga ulipo. Vinginevyo, kinyume chake ndiyo huwa sahihi.Nyie watoto mnaadika ujinga mi Niko namiliki viwanda naziona chanamoto nyingi zinasabishwa na wanasiasa
Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Ukiona twiga anaacha majani ya juu ya mti, anang'ang'ania kula majani ya chini pamoja na swala, paa, sungura ujue kachanganyikiwa mpaka kakosa mwelekeoM
Mkapa na JK ni wanachama wa CUF, ACT au NCCR? Unataka kutuaminisha kuwa hao wastaafu nao walikuwa wanalazimika kuinunulia ATCL ndege? Ni kazi ya Rais kununua ndege,kujenga reli, madaraja, mabwawa ya umeme?
Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie, hizi zote ni job description za rais? Mimi naona Mh. anajishusha chini na kufanya kazi za wizara.
kweli kabisa sasahivi habari ni korona tu. .mengine baadaye
WatujuzeeHilo ndilo lengo langu, kama una habari ya SGR Dar to Moro kuanza nijulishe nikakate tiketi.