Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Acha ujinga dogo, kwa nini usiwaelekeze site reli inapojengwa unawaelekeza u tube?

Sema nenda station ya pugu, au pale ngerengee, ukajionee kwa macho

kama unajiamini waambie waingie kwenye google eath wadownload picha za satelite.
Hamuwezi kuwadanganya watu waliowazidi akili YouTube ni usanii mtupu
Mtu anayeweza "kufika na ku-reside" jf naanzaje kumwelekeza site ya ujenzi ya SGR! Assumption ni kuwa hapa jukwaani kuna watu wazima tu ambao hujua ni nini wanaongelea. Mwana jf asiyejua reli hiyo inajengwa wapi nikishambaini hata post zake naacha kusoma maana hayuko pahala sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo unaongea siasa wakati umeajiliwa na polepole anakulipa buku 7 kwa simu,

njoo huku mtaani ukkumbane na changamoto za kuanzisha hivyo viwanda, siyo rahisi kama unavyosimulia,

bado hatuna Sera nzuri ya viwanda, kuna makelele mengi bila uhalisia
Nasema siku zote. Nchi haitaendelezwa na cheap thinkers! Kwa hiyo kwako wewe yeyote anayeunga mkono initiative flani ya serikali ni mwanaCCM au wamemwajili kuwatetea majukwaani. Na hapo utakuta unajiita mwanademokrasia! Wonders will never end!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka hata mtoto anapozaliwa huzungumzwa sana kuliko hata nyakati za kukua kwake. Pia nini kinaendelea ni ngumu, Mara nyingi matarajio katika jambo lolote sio ukamilifu wa hilo jambo.
 
Mkoa wa Tanga kwa sasa ni miongoni mwa mikoa migumu iliyodorora kiuchumi

Kutokana na hali ngumu sana na ukata uliopitiliza nakumbuka wakati wa uzinduzi wa Bomba la HOIMA Wanatanga waliaminishwa kuwa neema kubwa inakuja kiasi cha kudhani kuwa lile bomba litapitisha pesa zitakazomwagika mitaa ya Tanga na vitongoji vyake

Hatimae ilifikirika watu wangechota mapesa kedekede na kufikia mwisho wa kushindia mihogo na badala yake kuanza kula neema ya mikate ya kumimina kwa samaki wa kupaka huku vijana wakiendelea kuchota mapesa kutoka bomba hilo madoo kwa mandoo na sio kukaa Katika kila njia panda na bodaboda zao

Kwa maana sasaivi Tanga kila kijana ni dereva wa bodaboda ukipata kila njia panda utakuta lundo la vijana na bodaboda zao kiasi imekua Biashara ngumu na wateja hakuna

Kuna mtu akauliza kwani litakua na tofauti gani na lile laTAZAMA ambalo linapitisha mafuta tu na huku bado wanairinga wana njaa ????





Sent using Jamii Forums mobile app
Mradi wa Tanga-Hoima utakuwa na manufaa makubwa endapo utatekelezwa. Lakini suala la watu kudhani mradi huo utawapatia pesa za kuchota, kuanza kula samaki wa kupaka na kuacha kushindia mihogo ni fikra za mtu husika. Ambazo kimsingi huwezi kuzidhibiti.

Short term benefits za miradi kama hiyo hunufaisha "maelfu" tu ya watu walio kwenye mnyororo wa thamani wa utekelezaji wa mradi wenyewe (ujenzi).

Bali "mamilioni" waweza kunufaika kutokana na "derived" economic activities ikiwa mradi utatekelezwa ipasavyo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema siku zote. Nchi haitaendelezwa na cheap thinkers! Kwa hiyo kwako wewe yeyote anayeunga mkono initiative flani ya serikali ni mwanaCCM au wamemwajili kuwatetea majukwaani. Na hapo utakuta unajiita mwanademokrasia! Wonders will never end!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watoto mnaadika ujinga mi Niko namiliki viwanda naziona chanamoto nyingi zinasabishwa na wanasiasa
 
stupid. hivi katika akili yako unajua mu7 ndio analeta bomba tz. bomba linaletwa na kampuni ya total. total ndio wenye visima uganda na wao ndio wanatoa $4 billion za kujenga bomba. na total ndio walimgomea mu7 kupeleka bomba kenya. hivi mbona mnashindwa kujua hata vitu raisi tu


Sent using Jamii Forums mobile app
Well said. Miongoni mwa vitu vinavyokera ni kuona mtu anajitutumua kuhabarisha kuhusu kitu ambacho ni dhahili hana alijualo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M
Mkapa na JK ni wanachama wa CUF, ACT au NCCR? Unataka kutuaminisha kuwa hao wastaafu nao walikuwa wanalazimika kuinunulia ATCL ndege? Ni kazi ya Rais kununua ndege,kujenga reli, madaraja, mabwawa ya umeme?
Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie, hizi zote ni job description za rais? Mimi naona Mh. anajishusha chini na kufanya kazi za wizara.
Ukiona twiga anaacha majani ya juu ya mti, anang'ang'ania kula majani ya chini pamoja na swala, paa, sungura ujue kachanganyikiwa mpaka kakosa mwelekeo
 
Ngoja tuendelee kusubiri labda Corona ikiisha miradi itaendelea . Hafu nakuteua uendele kufuatilia kwa kuweka kambi ktk miradi husika ili utupe update .tukaombe kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Berega, Kilosa
Morogoro

Daraja la muda kuunganisha vijiji kwenda hospitali Teule ya Berega wilayani Kilosa , Morogoro Tanzania lazinduliwa

 
March 29, 2020
Karema, Tanganyika
Katavi

Breaking News :



Source : ITV Tanzanis
 
Back
Top Bottom