Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Mtu anayeweza "kufika na ku-reside" jf naanzaje kumwelekeza site ya ujenzi ya SGR! Assumption ni kuwa hapa jukwaani kuna watu wazima tu ambao hujua ni nini wanaongelea. Mwana jf asiyejua reli hiyo inajengwa wapi nikishambaini hata post zake naacha kusoma maana hayuko pahala sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo unaongea siasa wakati umeajiliwa na polepole anakulipa buku 7 kwa simu,

njoo huku mtaani ukkumbane na changamoto za kuanzisha hivyo viwanda, siyo rahisi kama unavyosimulia,

bado hatuna Sera nzuri ya viwanda, kuna makelele mengi bila uhalisia
Nasema siku zote. Nchi haitaendelezwa na cheap thinkers! Kwa hiyo kwako wewe yeyote anayeunga mkono initiative flani ya serikali ni mwanaCCM au wamemwajili kuwatetea majukwaani. Na hapo utakuta unajiita mwanademokrasia! Wonders will never end!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka hata mtoto anapozaliwa huzungumzwa sana kuliko hata nyakati za kukua kwake. Pia nini kinaendelea ni ngumu, Mara nyingi matarajio katika jambo lolote sio ukamilifu wa hilo jambo.
 
Mradi wa Tanga-Hoima utakuwa na manufaa makubwa endapo utatekelezwa. Lakini suala la watu kudhani mradi huo utawapatia pesa za kuchota, kuanza kula samaki wa kupaka na kuacha kushindia mihogo ni fikra za mtu husika. Ambazo kimsingi huwezi kuzidhibiti.

Short term benefits za miradi kama hiyo hunufaisha "maelfu" tu ya watu walio kwenye mnyororo wa thamani wa utekelezaji wa mradi wenyewe (ujenzi).

Bali "mamilioni" waweza kunufaika kutokana na "derived" economic activities ikiwa mradi utatekelezwa ipasavyo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watoto mnaadika ujinga mi Niko namiliki viwanda naziona chanamoto nyingi zinasabishwa na wanasiasa
 
Well said. Miongoni mwa vitu vinavyokera ni kuona mtu anajitutumua kuhabarisha kuhusu kitu ambacho ni dhahili hana alijualo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona twiga anaacha majani ya juu ya mti, anang'ang'ania kula majani ya chini pamoja na swala, paa, sungura ujue kachanganyikiwa mpaka kakosa mwelekeo
 
Ngoja tuendelee kusubiri labda Corona ikiisha miradi itaendelea . Hafu nakuteua uendele kufuatilia kwa kuweka kambi ktk miradi husika ili utupe update .tukaombe kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Berega, Kilosa
Morogoro

Daraja la muda kuunganisha vijiji kwenda hospitali Teule ya Berega wilayani Kilosa , Morogoro Tanzania lazinduliwa

 
March 29, 2020
Karema, Tanganyika
Katavi

Breaking News :


Source : ITV Tanzanis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…