Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

December 31, 2020

'Kijiji cha Lukata Kinyala Rungwe Hakijawahi kuwa na Maji ya Bomba'' Naibu Waziri wa Maji Aelezwa

Wananchi wadai kwa mwendo huu hata miaka 40 hawataona maendeleo Rungwe
Source: MbeyaYetuonlinetv
 
Jengeni kwanza Ofisi ya Chama chenu ndiyo mnyooshe vidole kwa wengine.Poor Mindset
 
January 1, 2021
Kijiju cha Matuli ,Morogoro Vijijini
Tanzania

Mitandao ya Mawasiliano ya Simu Changamoto
Mbinu za ziada inatakiwa, mojawapo ni kuweka simu yako ktk machupa na kutundika mtini....unaiacha itafute network kwa masaa..urudi baadaye ...kuongea...


Source : millard ayo
 
Tanzania itakuwa kama ulaya
 
Bado tu maana Dec 2020 imeshapita
 
Kunywa mtori nyama zipo chini
 
Hapa tindo alikunyoosha kabisa ikabidi ukimbie, anyway vipi kipande cha sgr kutoka dar mpaka Moro bado tu?maana hii ni 2021
Dogo, SGR itajengwa na kuisha bila kujalj dua yenu mbaya. Mimi nakaa Mwanza. Januari hii ujenzi wa SGR kuanzia hapa Jijini kuelekea Isaka, Shinyanga utaanza. Ila ninyi endeleeni kuomba dua yenu. Ila kitu ambacho hakiwezi kufanyika na nina uhakika nacho ni Chadema kujenga Ofisi ya Makao Makuu. For that, I can bet even with my life!!! Ahahahahahahaha!!!!
 
 
January 8, 2021
Malinyi, Morogoro
Tanzania

Mbunge Antipas aililia TARURA


Mvua zilivyogeuza wilaya ya Malinyi mkoa wa Morogoro kuwa kama kisiwa, mbunge Antipas aokoa Jahahazi kuichangia gharama za ukarabati wa daraja.
Source : MwanaHALISI TV
 
Mlitudanganya kuwa fedha za kujengea SGR ni zetu,leo ndiyo mmeumbuka baada ya kuutangazia umma kuwa mnategemea mkopo.
 
Sijawahi kuona mtu mshamba kama wewe
 
Stategy nzuri naona ujenzi unafanyika toka mwanzo wa reli kwenda mwisho na mwisho kurudi mwanzo, hapo lazima mradi ukamilike.
 
.[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…