Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jengeni kwanza Ofisi ya Chama chenu ndiyo mnyooshe vidole kwa wengine.Poor MindsetMiradi yenyewe tunasaidiwa na serikali zingine lakini tunajipiga kifua binafsi kama vile tumeifanya wenyewe. Miradi ya kawaida tu lakin mbwembwe nyingi, waafrika bana tunashida sana, kila kitu siasa tu. Badala mjisifie kwenye sera zenye tija mnajisifia kwenye barabara... Poor creatures
Tanzania itakuwa kama ulayaJanuary 1, 2021
Kijiju cha Matuli ,Morogoro Vijijini
Tanzania
Mitandao ya Mawasiliano ya Simu Changamoto
Mbinu za ziada inatakiwa, mojawapo ni kuweka simu yako ktk machupa na kutundika mtini....unaiacha itafute network kwa masaa..urudi baadaye ...kuongea...
Source : millard ayo
Akili za kengeJengeni kwanza Ofisi ya Chama chenu ndiyo mnyooshe vidole kwa wengine.Poor Mindset
Vipi muda bado?Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Bado tu maana Dec 2020 imeshapitaUpdate ni kwamba Stiglers Gorge inaendelea vizuri. Sema maji yamejaa yamesababisha kusimama kwa uchimbaji wa diversion tunnel, mvua ikikata maji yakaisha kazi inaendelea kama kawaida. Kwa hili serikali inapaswa kupongezwa.
SGR pia ni project nzuri, iwapo itakamilika tutaona matunda yake. Kwa sasa hii ya Morogoro Dar iko karibu 80% na natumaini kufikia December mwaka huu itakua tayari. Ile ya Moro Dom iko 30%, 2024 au kabla ya hapo itakamilika.
Katika project naunga mkono na nafuatilia ni hizi kwa sababu zina long term benefits kuliko nyingine zote.
Kunywa mtori nyama zipo chiniTuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.
Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?
Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?
Ndege zetu zimepaki? yaani.
Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
Hapa tindo alikunyoosha kabisa ikabidi ukimbie, anyway vipi kipande cha sgr kutoka dar mpaka Moro bado tu?maana hii ni 2021Hivi Chadema watajenga lini jengo la makao makuu ya chama?
Dogo, SGR itajengwa na kuisha bila kujalj dua yenu mbaya. Mimi nakaa Mwanza. Januari hii ujenzi wa SGR kuanzia hapa Jijini kuelekea Isaka, Shinyanga utaanza. Ila ninyi endeleeni kuomba dua yenu. Ila kitu ambacho hakiwezi kufanyika na nina uhakika nacho ni Chadema kujenga Ofisi ya Makao Makuu. For that, I can bet even with my life!!! Ahahahahahahaha!!!!Hapa tindo alikunyoosha kabisa ikabidi ukimbie, anyway vipi kipande cha sgr kutoka dar mpaka Moro bado tu?maana hii ni 2021
Dogo, SGR itajengwa na kuisha bila kujalj dua yenu mbaya. Mimi nakaa Mwanza. Januari hii ujenzi wa SGR kuanzia hapa Jijini kuelekea Isaka, Shinyanga utaanza. Ila ninyi endeleeni kuomba dua yenu. Ila kitu ambacho hakiwezi kufanyika na nina uhakika nacho ni Chadema kujenga Ofisi ya Makao Makuu. For that, I can bet even with my life!!! Ahahahahahahaha!!!!
[/QAchana na hiyo ndoto unayoota, hii miradi hata mkipewa miaka kumi na tano mbele hamtoboi,Dogo, SGR itajengwa na kuisha bila kujalj dua yenu mbaya. Mimi nakaa Mwanza. Januari hii ujenzi wa SGR kuanzia hapa Jijini kuelekea Isaka, Shinyanga utaanza. Ila ninyi endeleeni kuomba dua yenu. Ila kitu ambacho hakiwezi kufanyika na nina uhakika nacho ni Chadema kujenga Ofisi ya Makao Makuu. For that, I can bet even with my life!!! Ahahahahahahaha!!!!
Imagine dar-moro km 300 miaka 4 mmeshindwa kumaliza na mwanza kwenda dar ni zaidi ya km 1200, Je ni lini mtaweza kumaliza? na hapo tu assume other factors remain constant
Watu wanajadili mambo ya maana, wewe unaleta ujinga! Katika vigezo vya maendeleo, uliwahi kusikia majengo ya vyama?Jengeni kwanza Ofisi ya Chama chenu ndiyo mnyooshe vidole kwa wengine.Poor Mindset
Vitendea kazi hadi mchina acheke ndiyo vipatikaneBado tu maana Dec 2020 imeshapita
Utaambiwa reli imezolewa na mafurikoHapa tindo alikunyoosha kabisa ikabidi ukimbie, anyway vipi kipande cha sgr kutoka dar mpaka Moro bado tu?maana hii ni 2021
Mlitudanganya kuwa fedha za kujengea SGR ni zetu,leo ndiyo mmeumbuka baada ya kuutangazia umma kuwa mnategemea mkopo.Dogo, SGR itajengwa na kuisha bila kujalj dua yenu mbaya. Mimi nakaa Mwanza. Januari hii ujenzi wa SGR kuanzia hapa Jijini kuelekea Isaka, Shinyanga utaanza. Ila ninyi endeleeni kuomba dua yenu. Ila kitu ambacho hakiwezi kufanyika na nina uhakika nacho ni Chadema kujenga Ofisi ya Makao Makuu. For that, I can bet even with my life!!! Ahahahahahahaha!!!!
Hao mataga akili zao kama za nguchiroWatu wanajadili mambo ya maana, wewe unaleta ujinga! Katika vigezo vya maendeleo, uliwahi kusikia majengo ya vyama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuona mtu mshamba kama weweDogo, SGR itajengwa na kuisha bila kujalj dua yenu mbaya. Mimi nakaa Mwanza. Januari hii ujenzi wa SGR kuanzia hapa Jijini kuelekea Isaka, Shinyanga utaanza. Ila ninyi endeleeni kuomba dua yenu. Ila kitu ambacho hakiwezi kufanyika na nina uhakika nacho ni Chadema kujenga Ofisi ya Makao Makuu. For that, I can bet even with my life!!! Ahahahahahahaha!!!!
.[emoji1787]Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.