Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mramba miguu nakuona leo unapigania buku 7 za lumumba ili uwapeleke wanao shule
Kwanini basi asiseme tunajengewa kwa mkopo.Ita unavyotaka wewe lakini fedha zitakazolipa hilo deni zinatokana na kodi yetu.
Tofautisha Kati ya Grant na Loan.
Wewe umeshasema inatosha.Kwanini basi asiseme tunajengewa kwa mkopo.
Tupo kitaifa zaidi.Vipi ujenzi wa ofisi za chama ufipa mshamaliza ujenzi?
Haya kachukue buku 7 lumumbaWhat a childish comment!! Kila anaye tofautiana na mawazo yenu finyu ni mlamba miguu - watu wenye mlengo wa skewed siasa kama zenu mkisikia Taifa letu limevamiwa mtakwenda picnic kufanya sherehe kwamba kiko wapi - u-sadism husio na kifani - unaweza kumbeza bezaje binadamu ambaye anaji-sacrifice kuwaleteeni maendeleo ya kweli, kuli paaisha Taifa letu kutoka kwenye uchumi wa spana mkononi mpaka kwenye Uchumi wa kati - mnataka Mungu awape nini, kama hamna hata chembe ya shukrani.
HIZO ZA KUKEJELI MIRADI INAYOJENGWA KWA AJILI YETU SISI WENYEWE WATANZANIA NDIO MTANZANIA MIMI INANIACHA HOI KUPITA MAELEZO.PENGINE KUNA WATANZANIA WANALIPWA KUFANYA HAYO NA MALIPO YANAWEZA KUWA AINA NYINGI.HII HALI SIJAWAHI IONA NCHI ZINGINE YA WAZAWA KUFANYA KEJELI AU KUOMBEA MABAYA KWA MIRADI INAYOJENGWA NA SERIKALI YAO WENYEWE.SIJUI WANAOFANYA HIVO MIYONI MWAO WAKIJITAZAMA WANAJISIKIAJE.PENGINE WANAJIONA TU WAKO SALAMA.HIO NI DALILI KUWA TANZANIA KUNA BINADAM WENYE ROHO ZA KUTU ZAIDI KULIKO NCHI ZINGINE.INASHANGAZA NA INASIKITISHA SANA.
Haya kachukue buku 7 lumumba
Tukijengewa kwa mkopo anaekuja kulipa ni Uganda au sisi wenyewe ndo tutalipa?Kwanini basi asiseme tunajengewa kwa mkopo.
Nenda chimba nambari 3 utakuta bahasha ya kijani kuna buku 7 maana leo umefanya kazi kubwa sana.Hizo ni dalili tosha za kuishiwa hoja zenye mshiko - mpo mpo tu, kazi kubeza beza watawala.
Wao bila mbwembwe hawaendiNashauri mbwembwe zipungue,hatuko kwenye mashindano
Tumshukuru sana mchina kwa kutuletea SGRTukijengewa kwa mkopo anaekuja kulipa ni Uganda au sisi wenyewe ndo tutalipa?
Nenda chimba nambari 3 utakuta bahasha ya kijani kuna buku 7 maana leo umefanya kazi kubwa sana.
Nani anajali?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]If you think 'am average Joe, you're grossly mistaken.
Acha kutufanya watoto wadogo humu, unasema anajiscrifice kwani hizo hela anatoa mfukoni kwake? Hizo ni Kodi za watanzania mtu yeyote akipewa hiyo dhamana anawajibu wa kusimamia kodi za watanzaniaWhat a childish comment!! Kila anaye tofautiana na mawazo yenu finyu ni mlamba miguu - watu wenye mlengo wa skewed siasa kama zenu mkisikia Taifa letu limevamiwa mtakwenda picnic kufanya sherehe kwamba kiko wapi - u-sadism husio na kifani - unaweza kumbeza bezaje binadamu ambaye anaji-sacrifice kuwaleteeni maendeleo ya kweli, kuli paaisha Taifa letu kutoka kwenye uchumi wa spana mkononi mpaka kwenye Uchumi wa kati - mnataka Mungu awape nini, kama hamna hata chembe ya shukrani.
Ndiyo hawa sasa: Siri ya mashtaka yaliyowatia hatiani Tito Magoti, mwenzakeHIZO ZA KUKEJELI MIRADI INAYOJENGWA KWA AJILI YETU SISI WENYEWE WATANZANIA NDIO MTANZANIA MIMI INANIACHA HOI KUPITA MAELEZO.PENGINE KUNA WATANZANIA WANALIPWA KUFANYA HAYO NA MALIPO YANAWEZA KUWA AINA NYINGI.HII HALI SIJAWAHI IONA NCHI ZINGINE YA WAZAWA KUFANYA KEJELI AU KUOMBEA MABAYA KWA MIRADI INAYOJENGWA NA SERIKALI YAO WENYEWE.SIJUI WANAOFANYA HIVO MIYONI MWAO WAKIJITAZAMA WANAJISIKIAJE.PENGINE WANAJIONA TU WAKO SALAMA.HIO NI DALILI KUWA TANZANIA KUNA BINADAM WENYE ROHO ZA KUTU ZAIDI KULIKO NCHI ZINGINE.INASHANGAZA NA INASIKITISHA SANA.
Mliambiwa? Na nani? Wewe na nani? Unachochea hasira zako za wivu bure, itakusaidia nini? Tafuta shoka anza kukata tamaa, Uchaguzi ushaisha tubiri 2030. If y,ou are serious nenda TRC au TANESCO watakajuvya lakini watakuuliza unauluza kama nani na iweje? Utajibuje! I hope hukutumwa toka Amsterdam au Ubelgiji.Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.
Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?
Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?
Ndege zetu zimepaki? yaani.
Mambo ni mengi sana muda hautoshi.