Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mramba miguu nakuona leo unapigania buku 7 za lumumba ili uwapeleke wanao shule
What a childish comment!! Kila anaye tofautiana na mawazo yenu finyu ni mlamba miguu - watu wenye mlengo wa skewed siasa kama zenu mkisikia Taifa letu limevamiwa mtakwenda picnic kufanya sherehe kwamba kiko wapi - u-sadism husio na kifani - unaweza kumbeza bezaje binadamu ambaye anaji-sacrifice kuwaleteeni maendeleo ya kweli, kuli paaisha Taifa letu kutoka kwenye uchumi wa spana mkononi mpaka kwenye Uchumi wa kati - mnataka Mungu awape nini, kama hamna hata chembe ya shukrani.