Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Baadhi ya comments zenu kama za kichawi vile!! Mnacho taka ni kipi hasa? Hamtaki reli ijengwe na kukamilika au - mtafahidika vipi if anything goes wrong - hivi inaingia akili kwamba Mtanzania mwenye akili timamu na mzalendo wa kweli anaweza ku-rejoice mradi wa ujenzi wa reli ukikwama?Mlitudanganya kuwa fedha za kujengea SGR ni zetu,leo ndiyo mmeumbuka baada ya kuutangazia umma kuwa mnategemea mkopo.
Kuhusu mkopo, wewe unaona ajabu gani Serikali ya Tanzania ikichukuwa mkopo ili ikamilishe ujenzi wa reli, Serikali karibu zote Duniani uchukuwa mkopo kwa lengo fulani, hata Serikali ya Marekani ufanya hivyo hivyo, kwa taarifa yako walikopa matrillioni ya dollars kutoka Uchina - would you believe it? Tanzania ikikopa unaona ajabu gani.