Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Mlitudanganya kuwa fedha za kujengea SGR ni zetu,leo ndiyo mmeumbuka baada ya kuutangazia umma kuwa mnategemea mkopo.
Baadhi ya comments zenu kama za kichawi vile!! Mnacho taka ni kipi hasa? Hamtaki reli ijengwe na kukamilika au - mtafahidika vipi if anything goes wrong - hivi inaingia akili kwamba Mtanzania mwenye akili timamu na mzalendo wa kweli anaweza ku-rejoice mradi wa ujenzi wa reli ukikwama?

Kuhusu mkopo, wewe unaona ajabu gani Serikali ya Tanzania ikichukuwa mkopo ili ikamilishe ujenzi wa reli, Serikali karibu zote Duniani uchukuwa mkopo kwa lengo fulani, hata Serikali ya Marekani ufanya hivyo hivyo, kwa taarifa yako walikopa matrillioni ya dollars kutoka Uchina - would you believe it? Tanzania ikikopa unaona ajabu gani.
 
Mkuu huyo uliyemquote ana matatizo ya kisaikolijia ni mtu asiyejielewa.

Tuna watu waajabu sana wao ni kupinga MAENDELEO tuu, kila kitu ni kupinga tuu.
 
Tatizo siyo kukopa,tatizo lenu mlitudanganya kuwa SGR mnaijenga kwa fedha zenu za ndani.

Kwani mkisema ukweli kuwa hiyo miradi mnaijenga kwa mikopo nani atawacheka?

Jambo jingine ni kuwa huwezi kumlazimisha mtu eti akusifie tu ndiyo uone kuwa ni mzalendo.
 
Siasa tuuu 24X7, majeraha ya kushindwa uchaguzi mnayahamishia kumunanga Magufuli wa watu na chama tawala - unaona ajabu gani tukichukua mkopo, Marekani yenyewe ina mzingo wa madeni kutoka Serikali ya Uchina au wewe hilo ulijui - at least JPM kajitahidi kuanzisha ujenzi wa reli in phases/piece meal kwa kutumia fedha za ndani-huo ni ujasiri husio kifani, Mataifa mangapi Afrika yana udhubutu na ubunifu wa kumfikia Nshomile Magufuli - hakuna.

Leo hii akitaka kuchukuwa mkopo kumalizia ujenzi wa reli mbona Dunia itamuelewa tu, save a few misguided Tanzanians ambao wanaomba kwa Lucifer ujenzi wa reli UKWAME ili wapate mtaji/ammunitions wa kisiasa wakidhani kwamba hilo tu ndilo litakuwa ni passport ya kuwaingiza Ikulu - watu wengine mawazo yao fyatu kabisa.
 
Siasa tuuu 24X7, majeraha ya kushindwa uchaguzi mnayahamishia kumunanga Magufuli wa watu na chama tawala - unaona ajabu gani tukuchukua mkopo, Marekani yenyewe ina mzingo wa mkopo kutoka Serikali ya Uchina au wewe hilo ulijui - at least JPM kajitahidi kuanzisha ujenzi wa reli kwa phase kwa kutumia fedha za ndani-huo ni ujasiri husio kifani, Mataifa mangapi Afrika yana udhubutu na ubunifu wa kumfikia Nshomile Magufuli - hakuna.

Leo hii akitaka kuchukuwa mkopo kumalizia ujenzi wa reli mbona Dunia itamuelewa tu, save a few misguided Tanzanians ambao wanaomba kwa Lucifer ujenzi wa reli ili wapate mtaji/ammunitions wa kisiasa wakidhani kwamba hulo tu ndilo litakuwa ni passport ya kuwaingiza Ikulu - watu wengine mawazo yao fyatu kabisa.
Mramba miguu nakuona leo unapigania buku 7 za lumumba ili uwapeleke wanao shule
 
Mkuu huyo uliyemquote ana matatizo ya kisaikolijia ni mtu asiyejielewa.

Tuna watu waajabu sana wao ni kupinga MAENDELEO tuu, kila kitu ni kupinga tuu.
Mnachoshindwa kuwaambia watu ni kwamba hatupingi maendeleo Bali tunapinga maendeleo yanayoletwa kwa kupoteza maisha ya watanzania wengine kwa kisingizio cha upinzani. Tunapinga maendeleo yasiyofuata vipaumbele, ( kununua madege huku wananchi wanashea maji na mifugo, watoto wanakalia mawe shuleni). Tunapinga maendeleo ya kujisifu mnatumia hela za ndani kumbe kiuhalisia mnauza nchi kwa Wachina kwa kuingia mikataba ya siri kama Zambia.
 
Kama mikataba ni ya siri wewe umeijuaje?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Stategy nzuri naona ujenzi unafanyika toka mwanzo wa reli kwenda mwisho na mwisho kurudi mwanzo, hapo lazima mradi ukamilike.
Hiyo reverse sijaielewa, kama hadi leo zaidi ya miaka 4 hata Morogoro hawajafika Dodoma watafika lini na Isaka lini achilia Kigoma, kuna mtaalamu mmoja alisema SGR itachukua zaidi ya miaka 15 kidogo atolewe utumbo.
 
Hiyo reverse sijaielewa, kama hadi leo karibu miaka 4 hawajafika Morogoro Dodoma watafika lini na Isaka lini achilia Kigoma, kuna mtaalamu mmoja alisema SGR itachukua zaidi ya miaka 15 kidogo atolewe utumbo.
Na hapo wachina hawajatutupa mkono
 
Baadhi ya comments zenu kama za kichawi vile!! Mnacho taka ni kipi hasa? Hamtaki reli ijengwe na kukamilika au - mtafahidika vipi if anything goes wrong - hivi inaingia akili kwamba Mtanzania mwenye akili timamu na mzalendo wa kweli anaweza ku-rejoice mradi wa ujenzi wa reli ukikwama?

Kuhusu mkopo, wewe unaona ajabu gani Serikali ya Tanzania ikichukuwa mkopo ili ikamilishe ujenzi wa reli, Serikali karibu zote Duniani uchukuwa mkopo kwa lengo fulani, hata Serikali ya Marekani ufanya hivyo hivyo, kwa taarifa yako walikopa matrillioni ya dollars kutoka Uchina - would you believe it? Tanzania ikikopa unaona ajabu gani.
Hakuna ajabu kwa serikali kukopa lkn iache kudanganya kuwa inajenga kwa pesa za ndani.
 
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
nakadilia umri wako utakua ni chini ya miaka 25, ungekua ni mfuatiliaji wa miradi ya kitaifa usinge uliza huo upuuzi wako, kila mara tunapewa updates za maendeleo ya hio miradi sambamba na viongozi kuitembelea, vyombo vya habari vinaripoti kila siku, mkiambiwa angalieni TBC mnasema ni ya ccm, ndio madhara yake haya mnauliza maswali yanayojibiwa kila siku
 
Baadhi ya comments zenu kama za kichawi vile!! Mnacho taka ni kipi hasa? Hamtaki reli ijengwe na kukamilika au - mtafahidika vipi if anything goes wrong - hivi inaingia akili kwamba Mtanzania mwenye akili timamu na mzalendo wa kweli anaweza ku-rejoice mradi wa ujenzi wa reli ukikwama?

Kuhusu mkopo, wewe unaona ajabu gani Serikali ya Tanzania ikichukuwa mkopo ili ikamilishe ujenzi wa reli, Serikali karibu zote Duniani uchukuwa mkopo kwa lengo fulani, hata Serikali ya Marekani ufanya hivyo hivyo, kwa taarifa yako walikopa matrillioni ya dollars kutoka Uchina - would you believe it? Tanzania ikikopa unaona ajabu gani.
HIZO ZA KUKEJELI MIRADI INAYOJENGWA KWA AJILI YETU SISI WENYEWE WATANZANIA NDIO MTANZANIA MIMI INANIACHA HOI KUPITA MAELEZO.PENGINE KUNA WATANZANIA WANALIPWA KUFANYA HAYO NA MALIPO YANAWEZA KUWA AINA NYINGI.HII HALI SIJAWAHI IONA NCHI ZINGINE YA WAZAWA KUFANYA KEJELI AU KUOMBEA MABAYA KWA MIRADI INAYOJENGWA NA SERIKALI YAO WENYEWE.SIJUI WANAOFANYA HIVO MIYONI MWAO WAKIJITAZAMA WANAJISIKIAJE.PENGINE WANAJIONA TU WAKO SALAMA.HIO NI DALILI KUWA TANZANIA KUNA BINADAM WENYE ROHO ZA KUTU ZAIDI KULIKO NCHI ZINGINE.INASHANGAZA NA INASIKITISHA SANA.
 
Siasa tuuu 24X7, majeraha ya kushindwa uchaguzi mnayahamishia kumunanga Magufuli wa watu na chama tawala - unaona ajabu gani tukichukua mkopo, Marekani yenyewe ina mzingo wa madeni kutoka Serikali ya Uchina au wewe hilo ulijui - at least JPM kajitahidi kuanzisha ujenzi wa reli in phases/piece meal kwa kutumia fedha za ndani-huo ni ujasiri husio kifani, Mataifa mangapi Afrika yana udhubutu na ubunifu wa kumfikia Nshomile Magufuli - hakuna.

Leo hii akitaka kuchukuwa mkopo kumalizia ujenzi wa reli mbona Dunia itamuelewa tu, save a few misguided Tanzanians ambao wanaomba kwa Lucifer ujenzi wa reli UKWAME ili wapate mtaji/ammunitions wa kisiasa wakidhani kwamba hilo tu ndilo litakuwa ni passport ya kuwaingiza Ikulu - watu wengine mawazo yao fyatu kabisa.
WANASEMA UKITAKA KUJUA WACHAWI WAKO JIZUSHIE KUWA UMEPATA MAAFA
 
Hakuna ajabu kwa serikali kukopa lkn iache kudanganya kuwa inajenga kwa pesa za ndani.
WATU WANAKOMAA NA SENTENSI AS IF KUKOSEWA KWA HIO TAARIFA IS A BIG DEAL KULIKO KINACHOFANYIKA.MTAZAMO HASI.NEGATIVITY MINDSET.
 
Hakuna ajabu kwa serikali kukopa lkn iache kudanganya kuwa inajenga kwa pesa za ndani.
Ita unavyotaka wewe lakini fedha zitakazolipa hilo deni zinatokana na kodi yetu.

Tofautisha Kati ya Grant na Loan.
 
Hiyo reverse sijaielewa, kama hadi leo zaidi ya miaka 4 hata Morogoro hawajafika Dodoma watafika lini na Isaka lini achilia Kigoma, kuna mtaalamu mmoja alisema SGR itachukua zaidi ya miaka 15 kidogo atolewe utumbo.
Kwa hiyo strategy Maana yake ni kuwa iwe itakavyokuwa lazima mradi ukamilike.
 
Back
Top Bottom