Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi.
Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni nani miongni mwao ana ushawishi mkubwa, anaamunika na anakubalika kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kwa sasa ndani na nje ya CHADEMA?🐒