Mwenye uzoefu na Baypot

Mwenye uzoefu na Baypot

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
605
Reaction score
217
Hbr wanajamvi ningependa kufahamu kutoka kwenu wanajamvi kuhusiana na hii taasisi inayoitwa baypot kuhusu utoaji wao wa mkopo baada ya kukamilisha vigezo vyote mikopo yao inachukuwa siku ngapi hadi unapata mkopo na je?hawa watu si wababaishaji vipi kuhusiana na rushwa
 
bora umeuuliza,kuna ndugu namfahamu alikopa kutoka taasis aina ya hizi ,alijutia
 
Nilifanya kazi hapo miez kadhaa, nikaacha baada ya kuona ntapata dhambi za bure, waliokopa wengi wanalia, mkopo utapata ndani ya masaa 24 lakin utajuta kwa miaka 5
 
Hao watu nihatari usije kujaribu kukopa huko utajuta hata deni likiisha kustopisha mkopo sasa hapo ndobalaa utaandika barua paka uchanganyikiwe usiombe ndugu yangu yaliyonikuta Mimi sitasahau
 
Back
Top Bottom