Mwenye uzoefu na Baypot

Hawa jamaa wako super. Juzi nilikopa m2 kwa ajili ya krismas. Nilizipata ndani ya 36 hours. Big up bayport​
 
Duh mbona hizi habari zinatisha? BOT wanajua haya? Poleni sana mliopitia huko...
 
Hawa jamaa wako super. Juzi nilikopa m2 kwa ajili ya krismas. Nilizipata ndani ya 36 hours. Big up bayport​
Wewe kama unaona ni bomba, basi utakuwa afisa masoko wa hao majizi, mtu huwezi kukopa tshs 1,000,000 /= halafu ulipe tshs 6,800,000 /=, halafu useme ni kitu bomba, Hapana hawa ni majizi, nashangaa magufuli hakuanza na hawa. Tena wakijua huelewi elewi ndiyo utaisoma namba, kuna mfanyakazi mwezetu hadi tunamuonea huruma, hadi atastaafu akiwa anadaiwa Kuna hatari ya kukosa pension zake. Watanganyika nawasihi musiende kwa hawa wezi. Bora ulale njaa kuliko hawa jamaa, wapo wa aina nyingi kwa hiyo ni kuwa makini Sana.
 
Hao beipoti na jamaa wanaitwa BLUE financial weka mbali sana. Bora kwenda kuongeza deni BODI YA MIKOPO (HESLB) kuliko hao jamaa.
 
Tatizo la taasisi hizi za masaa 24 wana riba iko juu nadhan ni asilimia 300% Pesa utapata haraka ttzo riba
 
Baypot wako poa sana we nikikopa 78m nikarudisha 81m huin kama wako poa afu mkopo ndan ya masaa 72 from the day ya kupeleka fomu huska.
Acha uongo Mungu anakuona hata saccos ndo yenye riba ndogo kuliko taasisi zote Kwa hela hio huwezi rudisha riba ya 3milioni sembuse hao 71 unarudisha 340
 
Vip crdb, wanaanza kutoa mikopo lin wadau?
 
kopa utozwe riba ya 200%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…