Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ina maana bado watu wanaendelea kukopa BayportItakufaje na inatengeneza super normal profit?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana bado watu wanaendelea kukopa BayportItakufaje na inatengeneza super normal profit?
Wewe kama unaona ni bomba, basi utakuwa afisa masoko wa hao majizi, mtu huwezi kukopa tshs 1,000,000 /= halafu ulipe tshs 6,800,000 /=, halafu useme ni kitu bomba, Hapana hawa ni majizi, nashangaa magufuli hakuanza na hawa. Tena wakijua huelewi elewi ndiyo utaisoma namba, kuna mfanyakazi mwezetu hadi tunamuonea huruma, hadi atastaafu akiwa anadaiwa Kuna hatari ya kukosa pension zake. Watanganyika nawasihi musiende kwa hawa wezi. Bora ulale njaa kuliko hawa jamaa, wapo wa aina nyingi kwa hiyo ni kuwa makini Sana.Hawa jamaa wako super. Juzi nilikopa m2 kwa ajili ya krismas. Nilizipata ndani ya 36 hours. Big up bayport
Acha uongo Mungu anakuona hata saccos ndo yenye riba ndogo kuliko taasisi zote Kwa hela hio huwezi rudisha riba ya 3milioni sembuse hao 71 unarudisha 340Baypot wako poa sana we nikikopa 78m nikarudisha 81m huin kama wako poa afu mkopo ndan ya masaa 72 from the day ya kupeleka fomu huska.
kopa utozwe riba ya 200%Hbr wanajamvi ningependa kufahamu kutoka kwenu wanajamvi kuhusiana na hii taasisi inayoitwa baypot kuhusu utoaji wao wa mkopo baada ya kukamilisha vigezo vyote mikopo yao inachukuwa siku ngapi hadi unapata mkopo na je?hawa watu si wababaishaji vipi kuhusiana na rushwa