Mwenye uzoefu na Baypot

Mwenye uzoefu na Baypot

Kuna mdada tunafanya nae kazi alikopa milioni 3 mwakani anamaliza mkopo kwa jumla ya sh million 15
 
Karibu kwenye taasisi yetu ya AFRICAN CAPITAL iliyopo posta mkuu. Riba ni 18% na unapata ndani ya masaa 24 pesa yako. Ni taasisi mpya so haina mambo mengi. 0653099785
 
Nilipata mkopo ndani ya masaa 24. Bayport kiboko na nikimaliza huu niliochukuo mwezi uliopita naenda tena kuchukua 10 m
Hongera bayport
Acha unafiki ww hujakopa, unajipendekeza siku ukikopa ndo utawajua interest yao ni 300% . ulikopa huna MTOTO kumaliza kulipa mkopo , hata bao 1 hupati tena MTOTO ndo sahau kabisa kumpata.
 
Hivi jaman, hata serikali hawa haiwaoni? Maana wako kinyume sana na sheria za riba za nchi yetu. Kila anayecoment analia, kweli ni jipu.
Shida ya serikali wao ni shareholder au partner in business achilia mbali bahasha ya kaki, HAKI HUPATI NG'OOOOOO
 
Baypot wako poa sana we nikikopa 78m nikarudisha 81m huin kama wako poa afu mkopo ndan ya masaa 72 from the day ya kupeleka fomu huska.
Labda we we ndie Ana Mkapa au mwanae. Jidanganye mwenyewe watanzania walio wengi wanaujua ukweli.
 
Mkuu kama mtu anayajua mashetani mengine pia mtutajie tuokoe watanzania masikini
BLUE FINANCE,FINCA,SEDA, FAIDIKA NA PRIDE. wengine wataongezea, mie nawashauri waende kwenye formal Banks kama CRDB,NMB zina riba chini ya 20% kwa mwaka.
 
Mkuu Benk ya posta sio watu wale......50% interest yaani nilijua afadhal kumbe ni wale wale....wao posta wanadanganya 15.5% mkataba ni false. sio real anafanya kuku uliza usome uulewe kuisoma upo okay, ukiletewa instalment ni ya ajabu loan 7,500,000/- kwa 14,000,000/- return
Hilo pia ni JIPU LISHAANZA KUTOA USAHA KABLA HALIJATUMBULIWA.Weka mbali na watanzania. Shida niionayo mm ni kuwa watu wanaposongwa na shida za kupata PESA za fasta fasta huingia mkenge pasipo kufanya japo kautafiti kuhusu riba zitolewazo. Wengine hata kama wanajua wanapuuzia waulize baadhi ya walimu kupitia halimashauri zao wanalia sana. NGOJA WAISOME NAMBA
 
Karibu kwenye taasisi yetu ya AFRICAN CAPITAL iliyopo posta mkuu. Riba ni 18% na unapata ndani ya masaa 24 pesa yako. Ni taasisi mpya so haina mambo mengi. 0653099785
Inakopesha wafanyakazi ,wajasiriamali au ......!?
 
Nawajua Bayport nje ndan yani Nina PhD kuhusu wap. Mfumo wap wa ribs haupo kama ivyo ulivyoandika na umekaa kutapel sana ndio maana watu wengi wanalia sana, yan maelezo uyayopewa wakat wa kukopa ni tofauti na makato yenyewe wao wanatumia Compound interest ambayo ni hatar sana wastan wa mtu anayekopa milion 3 kwa miaka mitatu analipa around milion kumi kasoro. Ni harari sana anayejiingiza huko awe amejipanga. Mi najua vijana zaidi ya kumi wameacha kaz ya ualimu kwa mikopo ya Bayport
Mimi ni mfano ndg nilikopa 4m baada ya muda den likaja 14m niliona isiwe kesi wamenikomoa na me nawakomoa silipia naacha kaz sahiz nimejiajir naishi kwa amani
 
Nilipata mkopo ndani ya masaa 24. Bayport kiboko na nikimaliza huu niliochukuo mwezi uliopita naenda tena kuchukua 10 m
Hongera bayport
wewe bila shaka ni mmoja wao.Asante sana wanajamvi kuna kitu nimejifunza kuhusiana na hii taasisi maana wengi wanashauri nisijaribu na mimi nisipo sikia la wakuu naweza ota matende
 
Mkuu kama mtu anayajua mashetani mengine pia mtutajie tuokoe watanzania masikini
Mashetani mengine ni FAIDIKA, PLATINUM, ABC BANC, TUNAKOPESHA LTD , hizo zote ni namba mbovu do not try to even to beep.WENGINE WATAJE
 
Back
Top Bottom