Mungasaragha Kalembwe Member Joined May 8, 2019 Posts 23 Reaction score 9 Mar 23, 2023 #1 Bila kupoteza muda, naomba nifafanuliwe na kunielewesha juu ya hii biashara mfano Mtaji wake ni sh ngapi? Malengo Kwa siku au Kwa wiki sh ngapi? Changamoto zake ni zipi Na mengine ya ziada kama yapo naomba tena wajuzi wa mambo mnisaidieView attachment 2562314
Bila kupoteza muda, naomba nifafanuliwe na kunielewesha juu ya hii biashara mfano Mtaji wake ni sh ngapi? Malengo Kwa siku au Kwa wiki sh ngapi? Changamoto zake ni zipi Na mengine ya ziada kama yapo naomba tena wajuzi wa mambo mnisaidieView attachment 2562314
Kelvin35 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 698 Reaction score 1,112 Oct 1, 2023 #2 David Daudi vipi ulifanikiwa kupata ushauri kuhusu hili? me mwenyewe nahitaji ushuri pia...
belionea JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 1,052 Reaction score 915 Oct 4, 2023 #3 Mtaji ni 2M then tafuta location nzuri na master pool mzuri hesabu ya Kila siku itatokana na eneo