Mwenye uzoefu na biashara ya pool table

Mwenye uzoefu na biashara ya pool table

Joined
May 8, 2019
Posts
23
Reaction score
9
Bila kupoteza muda, naomba nifafanuliwe na kunielewesha juu ya hii biashara mfano

Mtaji wake ni sh ngapi?

Malengo Kwa siku au Kwa wiki sh ngapi?

Changamoto zake ni zipi

Na mengine ya ziada kama yapo naomba tena wajuzi wa mambo mnisaidieView attachment 2562314

IMG_20230321_171052.jpg
 
Mtaji ni 2M then tafuta location nzuri na master pool mzuri hesabu ya Kila siku itatokana na eneo
 
Back
Top Bottom