Mungasaragha Kalembwe
Member
- May 8, 2019
- 23
- 9
Bila kupoteza muda, naomba nifafanuliwe na kunielewesha juu ya hii biashara mfano
Mtaji wake ni sh ngapi?
Malengo Kwa siku au Kwa wiki sh ngapi?
Changamoto zake ni zipi
Na mengine ya ziada kama yapo naomba tena wajuzi wa mambo mnisaidieView attachment 2562314
Mtaji wake ni sh ngapi?
Malengo Kwa siku au Kwa wiki sh ngapi?
Changamoto zake ni zipi
Na mengine ya ziada kama yapo naomba tena wajuzi wa mambo mnisaidieView attachment 2562314