Habarini watanzania wenzangu,
Naomba kupata uzoefu wenu ambao mmewahi kusafirisha mizigo yenu mliyonunua mtandaoni hususani Alibaba kwa kutumia DHL Express, gharama zao zikoje kwa 1kg, na pia mzigo unachukua siku ngapi kufika, lakini pia mlifanyaje kuweza kutumia DHL maana katika options za carrier kwenye Alibaba hakuna DHL.
Ahsanteni sana. natanguliza shukrani.
Ahsante, mzigo unahitajika haraka sana, hivyo inatakiwa ufike ndani ya wiki 2, kama unaweza suggest courier mwingine mwenye gharama nafuu nitashukuruAnhaaa ipo hv.. unawasiliana na seller wako anapeleka mzigo DHL au unawasiliana na DHL watakupa utaratibu jinsi gan ufanye.! Pia DHL wana gharama sana mzee kwann usitumie courier wa kawaida tuu.?
Ahsante, mzigo unahitajika haraka sana, hivyo inatakiwa ufike ndani ya wiki 2, kama unaweza suggest courier mwingine mwenye gharama nafuu nitashukuru
Umewahi kuagiza mzigo wowote siku za hivi karibuniAhsante, mzigo unahitajika haraka sana, hivyo inatakiwa ufike ndani ya wiki 2, kama unaweza suggest courier mwingine mwenye gharama nafuu nitashukuru
Hapana, ni kama miezi 5 imepita toka niagize kwa mara ya mwishoUmewahi kuagiza mzigo wowote siku za hivi karibuni
Tumia Silent Ocean, Hautajutia.
Manake wana mizigo michacheMzigo wa haraka apeleke silent ocean ?
Unataka alie machozi ya damu.
Silent watafikisha mzigo wake miezi mitatu mbele
Manake wana mizigo michache