Mwenye uzoefu na DHL kusafirisha mzigo kutoka Alibaba

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
Habarini watanzania wenzangu,

Naomba kupata uzoefu wenu ambao mmewahi kusafirisha mizigo yenu mliyonunua mtandaoni hususani Alibaba kwa kutumia DHL Express, gharama zao zikoje kwa 1kg, na pia mzigo unachukua siku ngapi kufika, lakini pia mlifanyaje kuweza kutumia DHL maana katika options za carrier kwenye Alibaba hakuna DHL.

Ahsanteni sana. natanguliza shukrani.
 
Anhaaa ipo hv.. unawasiliana na seller wako anapeleka mzigo DHL au unawasiliana na DHL watakupa utaratibu jinsi gan ufanye.! Pia DHL wana gharama sana mzee kwann usitumie courier wa kawaida tuu?
 
Anhaaa ipo hv.. unawasiliana na seller wako anapeleka mzigo DHL au unawasiliana na DHL watakupa utaratibu jinsi gan ufanye.! Pia DHL wana gharama sana mzee kwann usitumie courier wa kawaida tuu.?
Ahsante, mzigo unahitajika haraka sana, hivyo inatakiwa ufike ndani ya wiki 2, kama unaweza suggest courier mwingine mwenye gharama nafuu nitashukuru
 
Mwingine sifaham labda ngoja waje wataalam

Cc @Mwl.RCT
 
Kuna UPS, FedEx na TNT hao ndo wako Tanzania ninao wajua. DHL ni ghari balaa.
 
Niliwahi ila DHl ni ghali sana Nicheki 0713055107 kwa sasa kuna kampuni inasafirisha kwa ndege siku 7-10 gharama ni $12/kg...Gharama zimejumuisha Kodi ya clealence
 
Ahsante, mzigo unahitajika haraka sana, hivyo inatakiwa ufike ndani ya wiki 2, kama unaweza suggest courier mwingine mwenye gharama nafuu nitashukuru
Umewahi kuagiza mzigo wowote siku za hivi karibuni
 
Back
Top Bottom