Habarini watanzania wenzangu,
Naomba kupata uzoefu wenu ambao mmewahi kusafirisha mizigo yenu mliyonunua mtandaoni hususani Alibaba kwa kutumia DHL Express, gharama zao zikoje kwa 1kg, na pia mzigo unachukua siku ngapi kufika, lakini pia mlifanyaje kuweza kutumia DHL maana katika options za carrier kwenye Alibaba hakuna DHL.
Ahsanteni sana. natanguliza shukrani.