Mwenye uzoefu na mabubu nahitaji kuoa bubu

Unaoa bubu hii ni kali sana aisee inaonyesha mabubu sasa hivi wametrend sana .
Kama wakina wema sepetu .
Zamani .
Nimejua kwanini ukimwoa anayeongea utapigiwa kelele ila babaa kelele atakuwa poa sana.
kumbe watu wa humu wanavosemaga ww sio mtanzania n kweli eeh,,,,,sjawahi kuelewa kiswahili chako hata sku moja

hata hii comment cjaelewa umemaanisha nn
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Bubu ugongewi na wakuda.maana kuna wakuda mwanamke akiwa huru wanamuona mbaya ila akiolewa wanaanza kumuona kisu.
 
NduguZangu Mniamini Niwafanyizie Kazi Maendeleo Hayana
Kwenye Utawala Wangu Jamani Zaeni
Elimu Ni Bure, Ada Hakuna
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti nimemuona ni bubu nahitaji nimnusuru kwa maana ya kumuoa.

Kuhus mawasiliano nashukuru tunaelewana japo kwa ishara japo ndio hivyo ni mwendo wa aba ba ba ba lakini sio inshu sana cha muhimu lile la muhimu kama mke analimudu.

Ningependa kupata mbili tatu wenye uzoefu wa hawa mabubu.
Mkuu usihadaike na hali ya kuwa ni bubu ukadhani atatulia,,..mwanamke ni yule yule tofauti ni kuongea tu..tena mabubu wa siku hizi na uongo pia wanao...kuna binti mmoja mitaani huku ni bubu na tunabomoa kama kawaida... Tena wala uhitaji kiswahili kingi....halafu ni muongo balaa,,..bubu ni zamani,,siku hizi ukipata namba zake za Simu bubu kaliwa...
 
Jiandae kuwa kurudi ukichelewa na akawahi kulala sijui nani takufungulia mlango hata utumie nyundo hawasikii na usiombe afungulie radio hiyo sauti
 
Mkuu usihadaike na hali ya kuwa ni bubu ukadhani atatulia,,..mwanamke ni yule yule tofauti ni kuongea tu..tena mabubu wa siku hizi na uongo pia wanao...kuna binti mmoja mitaani huku ni bubu na tunabomoa kama kawaida... Tena wala uhitaji kiswahili kingi....halafu ni muongo balaa,,..bubu ni zamani,,siku hizi ukipata namba zake za Simu bubu kaliwa...
Hakika kabisa hata mimi mtaani kwangu yupo mmoja single kule mikoroshini kwa maganga ana watoto 8 anazaa kila mwaka lakini baba zao awajulikani. Yeye bado anaishi kwa wazazi wake.
 
Tena watu wana bomoa haswa...bila kujali ububu wake
 
Back
Top Bottom