Mwenye uzoefu na mabubu nahitaji kuoa bubu

Unaoa bubu hii ni kali sana aisee inaonyesha mabubu sasa hivi wametrend sana .
Kama wakina wema sepetu .
Zamani .
Nimejua kwanini ukimwoa anayeongea utapigiwa kelele ila babaa kelele atakuwa poa sana.
wivu huo...
 
Basi wakuu nimegairi..

Muowe usisikilize maneno ya watu, Mungu akufanyie wepesi kwa roho yako nzuri ya kumstiri huyo Bubu, Imagine angekua ni binti yako au dada yako wa damu ungejiskia furaha kiasi gn akipata mume na hali aliozaliwa nayo ya Ububu? Nobody is Perfect, asiekua na hili ana lile.
 
U said it all maa... Hamna mtu amekamilika na atakua haoi kama atakua anaskiza kila kitu kibaya watu wanasema kuhusu watu fulan..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…