Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,858
- 3,393
- Thread starter
-
- #21
Hapo nimekupata mkubwa.kiukweli mimi siyatumii ila bibi yangu ndio anatumia sidhani kama analipikia ugali maana si ya kioo kwa juu? ila kama unapika ugali kuna ulazima gani wa kuyakandamiza?
Mbona sufuria ngumu sana zile alafu uzuri wake hazishiki moto juu kwenye mshikioMkuu kwenye kupika ugali ndo wasi wasi wangu.
Asante sana kakaXi Jinping njoo utoe neno.
Sio kioo kama hii glass ya kawaida yle ni material ya ceramic glass inahimiri joto la aina yoyotekiukweli mimi siyatumii ila bibi yangu ndio anatumia sidhani kama analipikia ugali maana si ya kioo kwa juu? ila kama unapika ugali kuna ulazima gani wa kuyakandamiza?
Toa muongozo wa kitaalam mkuu, uzuri, ubaya, uimara nk.Asante sana kaka
Hata uweke sufuria ya kilo 10 unapika ugali vizuri tu hayana shidaMkuu mgandamizo wa sufuria la ugali yanamudu kweli.
Umesema vyema nashuka navyo hapa:Toa muongozo wa kitaalam mkuu, uzuri, ubaya, uimara nk.
Kifaa chochote cha umeme huwa wanaweka matumizi yake ya umeme kwa saa mfano unaweza ukaona kimeandikwa 1000w, 2000w n.kHow do i know that?
Kwa hiyo hayo ya induction yanatumia umeme kiasi gani kwa wastani?Kifaa chochote cha umeme huwa wanaweka matumizi yake ya umeme kwa saa mfano unaweza ukaona kimeandikwa 1000w, 2000w n.k
Mfano ina maana gani kifaa cha umeme kikindikwa 1000w? Ina maana kinatumia unit 1 kwa saa au kitaalamu tunasema 1kWh. Ukitumia dakika 30 ni 0.5 kWh
Ikiwa jiko lako la induction limendikwa 2000w ina maana ukilitumia kwa saa 1 ni unit 2 za umeme (2 kWh)
Ndio maana inshauriwa mara zote unaponunua kifaa cha umeme kama hizi home appliances soma matumizi yake ya umeme yapoje
Induction kama ya ECOA ni 2000w hivyo unit 2 kwa saa. Makadirio ni kama ifuatavyo:Kwa hiyo hayo ya induction yanatumia umeme kiasi gani kwa wastani?
Pia uzuri wa majiko ya ECOA unatumia App ya simu kwaajili ya kuangalia matumizi yako ya kila siku. Wanakuunganishia moja kwa moja kwenye simu yako kwaajili ya kufuatilia matumizi yake. So far ni jiko zuri na matumizi yake ya umeme ni kidogo mno. Mimi pia nalitumia kama Main jiko na Gas ni kama backupInduction kama ya ECOA ni 2000w hivyo unit 2 kwa saa. Makadirio ni kama ifuatavyo:
View attachment 3612811
Safi saanaPia uzuri wa majiko ya ECOA unatumia App ya simu kwaajili ya kuangalia matumizi yako ya kila siku. Wanakuunganishia moja kwa moja kwenye simu yako kwaajili ya kufuatilia matumizi yake. So far ni jiko zuri na matumizi yake ya umeme ni kidogo mno. Mimi pia nalitumia kama Main jiko na Gas ni kama backup