Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,858
- 3,393
- Thread starter
- #61
Nimechukua jana, nasubiri kuwapelekea familia this weekend. Nitaleta mrejesho hapa wa matumizi.
Wamekuuzia kwa shingap na wamekupa pamoja na sifuria zakeNimechukua jana, nasubiri kuwapelekea familia this weekend. Nitaleta mrejesho hapa wa matumizi.
Hukusoma masharti!Wakubwa habarini za leo, kuna hii kampuni ya wakenya inaitwa Bunny ndio wana tengeneza haya majiko ya ECOA induction cookers, naomba ambaye ameyatumia anipe uzoefu kabla sija jilipua kuchukua.
Maharage na chipsi ,muda hutofautiana!How do i know that?