Mwenye uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA anipe uzoefu tafadhali!

ERoni
 
Ooh okay!
 
Vitengo ni nini?
 
Vitengo ni nini?
Vitengo ni sawa na units. So kama ni 1.52 vitengo. Maana yake umetumua 1.52 units kwa siku husika. Ama kama ni 0.235 vitengo. Maana yake umetumia Units 0.235. Unaweza kuangalia umetumia units ngapi kwa Siku husika, wiki hata Mwezi ama Mwaka mzima kabisa.
 
Hii imekaa kitaalam sana, kwani hiyo ni kampuni au huo mfumo unaweza kuwa nao hata ukinunua jiko la namna hiyo kwa kampuni tofauti?
 
Unaconnect vipi na simu yako mkuu, Wifi, Bluetooth au kitu gani asee.
 
Kwasababu wewe unalitumia vipi kuhusu Uimara wake na hujawai kutana na changamoto za hapa na pale, na VIPI MIKIKI MIKIKI YA UGALI, LINA MUDU, kuna jamaa juzi alinambia et magandamizo wa sufuria la ugali unaweza vunja ile glass.
 
Yanamudu sana labda haya ya sasa yawe tofauti na yale ya mwanzo,nina miaka miwili sasa.
Sina uhakika kama wanaweza kushusha kiwango, toka juu kuja chini, japo ni possibility pia, kesho naawasaka nichukue, vipi hujawai kutana na changamoto ikabidi pengine uende kwa fundi.
 
Sina uhakika kama wanaweza kushusha kiwango, toka juu kuja chini, japo ni possibility pia, kesho naawasaka nichukue, vipi hujawai kutana na changamoto ikabidi pengine uende kwa fundi.
Hakuna changamoto,pia yana warranty ikitokea limeleta shida unawatafuta wao wenyewe.
 
Unaconnect vipi na simu yako mkuu, Wifi, Bluetooth au kitu gani asee.
So far haya majiko, specifically ya ECOA yenyewe yemekuja na Built-in app ambayo yalilenga kwaajili ya Kuyachukua kama Mkopo then unakua unalipia kidogo kidogo kama zile simu za Mkopo. Japo unaweza lipia moja kwa moja na ukalimiriki. Pia wanakuunganishia kwenye simu na linakua na Serial number tofauti na unaweza liangalia hadi Location Incase likiibiwa unalizima
 

Attachments

  • IMG_20260623_194501.jpg
    153.8 KB · Views: 5
Shukran sana brother, umenipa mwanga.
 
Majiko ya induction ni mazuri sana na ni economical kuliko hata gas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…