Mwenye wazo la biashara Arusha kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) aje hapa

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo nitakayoona yanatekelezeka na kwa masharti tutakayokubaliana.

Karibuni.
 
Kwa chugga labda bange......
 
Unaomba kama unaombwa au vipi bhana
 
Biashara nyingi za mitaji midogo, huwa ni za kujiaibisha,lazima ujitoe ufahamu ili ufanye, mfano; kuchoma mahindi, kutembeza kahawa, mboga mboga, kuzibua vyoo n.k
 
Jaribu Biashara ya shanga, bangili na heren za kiasili
 
Kila la heri kwa wenye idea ila dah, elfu hamsini halafu iwe tena partnership.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…